nimepata tathmini kutoka kwa mdau anayeshiriki mchakato wa kampeni za ccm huko arumeru east na ameniambia kuwa hali ya chama hiko ni mbaya sana.
Maeneo ambayo ccm imeendelea kuungwa mkono ni pamoja na kata zifuatazo;
NKUARISAMBU-huku anatoka diwani wa ccm ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri ya meru.
MBUGUNI-diwani wa mbuguni ni maarufu sana bw thomas laizer au 'askofu' ingawa kuna baadhi ya watu wana wasiwasi na kata hii kwani askofu alipata kashfa ya rushwa hivi karibuni.
MARORONI na KINGO'RI-madiwani wa kata hizi ni maarufu na wanaheshimika kwa kazi yao.
Jumla ya kata huko arumeru ni 17.
waongeze majeshi kwenye hizo kata mbili hasa maroroni.nimefurahi kwamba kata ya akheri anapotoka siyoi imekuwa ngome muhimu ya cdm.Mkuu Nassari ameshaziteka na hizo kwenye red. labda hizo mbili ndiyo anazishughulikia kujua how they can handle it out!
nimepata tathmini kutoka kwa mdau anayeshiriki mchakato wa kampeni za ccm huko arumeru east na ameniambia kuwa hali ya chama hiko ni mbaya sana.
Maeneo ambayo ccm imeendelea kuungwa mkono ni pamoja na kata zifuatazo;
NKUARISAMBU-huku anatoka diwani wa ccm ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri ya meru.
MBUGUNI-diwani wa mbuguni ni maarufu sana bw thomas laizer au 'askofu' ingawa kuna baadhi ya watu wana wasiwasi na kata hii kwani askofu alipata kashfa ya rushwa hivi karibuni.
MARORONI na KINGO'RI-madiwani wa kata hizi ni maarufu na wanaheshimika kwa kazi yao.
Jumla ya kata huko arumeru ni 17.
Katika tathmini zenu tafadhari ongezeeni hoja zifuatazo na kuzitolea ripoti:
1. Vijana wengi ndio wapenda mabadiliko, lakini kadi za kupigia kura wanazo?
2. Tarehe 1.04.2012 ambayo ni siku ya kupiga kura itakuwa pia ni siku kuu ya "WAJINGA" KAMA ILIVYOZOELEKA KUITWA,je watu wameandaliwa kupambana na ghilba zinazoweza kujitokeza kwa mgongo wa siku hiyo?
Huu ni uongo. Kata ya Mbuguni ccm imezikwa siku nyingi sana. Hata hizo kata zingine ccm haina nguvu kabisa. Kwa uhakika ccm itashindwa vibaya sana. Niko Mbuguni hivyo ninajua kinachoendelea huku.
Sio kwamba nakupinga ila naomba unisaidie kujua 2010 kata hiyo Nassari alipata kura ngapi na Marehemu Sumari alipata ngapi, hata kama huna idadi kamili just tell us who won the wardHuu ni uongo. Kata ya Mbuguni ccm imezikwa siku nyingi sana. Hata hizo kata zingine ccm haina nguvu kabisa. Kwa uhakika ccm itashindwa vibaya sana. Niko Mbuguni hivyo ninajua kinachoendelea huku.
nimepata tathmini kutoka kwa mdau anayeshiriki mchakato wa kampeni za ccm huko arumeru east na ameniambia kuwa hali ya chama hiko ni mbaya sana.
Maeneo ambayo ccm imeendelea kuungwa mkono ni pamoja na kata zifuatazo;
NKUARISAMBU-huku anatoka diwani wa ccm ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri ya meru.
MBUGUNI-diwani wa mbuguni ni maarufu sana bw thomas laizer au 'askofu' ingawa kuna baadhi ya watu wana wasiwasi na kata hii kwani askofu alipata kashfa ya rushwa hivi karibuni.
MARORONI na KINGO'RI-madiwani wa kata hizi ni maarufu na wanaheshimika kwa kazi yao.
Jumla ya kata huko arumeru ni 17.
Katika tathmini zenu tafadhari ongezeeni hoja zifuatazo na kuzitolea ripoti:
1. Vijana wengi ndio wapenda mabadiliko, lakini kadi za kupigia kura wanazo?
2. Tarehe 1.04.2012 ambayo ni siku ya kupiga kura itakuwa pia ni siku kuu ya "WAJINGA" KAMA ILIVYOZOELEKA KUITWA,je watu wameandaliwa kupambana na ghilba zinazoweza kujitokeza kwa mgongo wa siku hiyo?
mkuu hata hapa jamvini tuna mitazamo tofauti hivyo si busara kuwachukia hao illiterate bali ni muhimu wakapewa elimu zaidi ya ukombozi.nina uhakika wataelewa ndani ya siku hizi mbili.Bwana nimesema humu jamvini, do not trust these rural illiterate people. They are the most unruly, unprincipled persons on earth