DIZZO MTAWALA
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 240
- 767
Chama cha mapinduzi ni muunganiko wa vyama viwili kimoja cha ukombozi kingine cha mapinduzi yaaani TANU na ASP kilitengeneza mfumo wake ulioshikana na dola kuanzia ngazi ya shina mpaka taifa viongozi wake walipita jkt na chuo cha kivukoni wengi walitokea huko JK kapita kina mzee lowasa comred kinana na wengine wengi.
Kutoka mwaka 1977 kilipoasisiwa kiliishi kama chama dola baada ya kuchafuka hali ya kisiasa Zanzibar 1984 na RAIS wa Zanzibar mzee jumbe kuvuliwa vyeo vyote vya chama na Serikali na kuwekwa kizuizini kilijipa mamlaka zaidi wakafanya mabadiliko ya katiba ikawa chama kushika hatamu .
Kuingia kwa mfumo wa vyama vingi 1992 ni jambo ccm hawakulipenda walionja utamu wa dola ilikubali kishingo upande tu pia walijaribu kuvidhohofisha vyama vya upinzani visikue kisiasa rejea anguko la NCCR mageuzi iliyotengenezewa mgogoro kikaenda kuangukia mkonge hotel tanga kati ya mwenyekiti Mrema na katibu wake Marando rejea pia misukosuko ya CUF wamejarabu kukisambaratisha sasa wamekipora kabisa.
Nyakati zote hizo CCM ilikuwa na uhalali wa kisiasa kwa maana kukubalika na umma na uhalali wa kidola kwa maana ya serikali sasa
Toka mwaka 2006 CHADEMA kilipojibadilisha chini ya Mbowe amewafanya CCM kukosa uhalali wa kisiasa na kubaki na uhalali wa kidola walijitahidi kupandikiza migogoro mingi yote mwamba Freeman Aikaeli Mbowe aliishinda rejea mgogoro wa 2009 ktk uchaguzi wa ndani wa CHADEMA walivuka salama wakarudia tena 2014 wakashindwa 2015 CCM ilibaki madarakani si kwa sababu ya kura bali mfumo wetu wa kikatiba tu .
Yote kwa yote CCM iliangushwa kwa umma ikabaki na uhalali wa dola walipoingia tu madarakani awamu hii ya tano ikatangaza kuufuta upinzani ifikapo 2020 hapo ndipo vitendo vya kikandamizaji vikaanza zikatungwa sheria kama za huduma ya vyombo vya habari sheria ya mitandao pia kauli za mkuu wa nchi kupiga marufuku ya maandamano na mikutano ya hadhara na jeshi la polisi kuwa sehemu ya uenezi wa chama cha mapinduzi
Vitendo vya utekaji kama Ben rabiu saanane pia kanguye na azori gwanda pamoja na wengine wengi pia viongozi wa upinzani kubambikiwa kesi kama hii iliyoisha ya viongozi wa chadema na mahakama ya rufaa ilidhibitisha kwenye kesi ya Mbilinyi alionewa
Wamejitahidi kuwalaghai viongozi wa upinzani kwa kuwaidi vyeo na pesa pamoja na yote hayo ccm iliweka mpira kwapani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kuwaondoa wagombea wote wa upinzani nchi nzima
Leo kuelekea uchaguzi mkuu 2020 mwezi Oktoba tayari CCM inatumia nguvu kubwa kujiaminisha kwa umma bahati mbaya wanajidhalilisha fikiria spika anamuita mbunge aliyejiuzulu mwenyewe akapokewa na chama kingine Leo anamwambia arudi bungeni huu ni ujua uliopitiza
CCM kimfumo ishakufa kimebaki kiwiliwili kilichopo kwenye serikali na 2020 kinaenda kukatika