Mada kama hii ingekuwa tamu kama ungeainisha hiyo miradi ya maendeleo.Nimekaa nikitafakari mwelekeo wa siasa ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu 2020, bila shaka kuna kundi au makundi ndani na nje ya ccm yakitaka JPM asiendee tena baada ya 2020, tuhuma na kurushiana maneno kupitia mitandao ya kijamaii na magazeti ikiwamo gazeti la "Tanzanite " lililoshusha tuhuma nzito kwa Bernard Membe kwamba anajipanga kugombea 2020.
Swali la msingi na labda linalohitaji utafiti wa kisiasa, je ni wananchi wakawaida wapiga kura wanaotaka JPM aondoke au ni makundi yenye maslahi yao kiuchumi na kisiasa?
Binafsi JPM kafanya kazi kubwa sana kwa hii miaka 3, especially kwenye kuibua miradi ya maendeleo yenye manufaa makubwa sana kiuchumi kwa kizazi hiki na kijacho.
Yote mawiliNimekaa nikitafakari mwelekeo wa siasa ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu 2020, bila shaka kuna kundi au makundi ndani na nje ya ccm yakitaka JPM asiendee tena baada ya 2020, tuhuma na kurushiana maneno kupitia mitandao ya kijamaii na magazeti ikiwamo gazeti la "Tanzanite " lililoshusha tuhuma nzito kwa Bernard Membe kwamba anajipanga kugombea 2020.
Swali la msingi na labda linalohitaji utafiti wa kisiasa, je ni wananchi wakawaida wapiga kura wanaotaka JPM aondoke au ni makundi yenye maslahi yao kiuchumi na kisiasa?
Binafsi JPM kafanya kazi kubwa sana kwa hii miaka 3, especially kwenye kuibua miradi ya maendeleo yenye manufaa makubwa sana kiuchumi kwa kizazi hiki na kijacho.
Membe for presidency 2020Sgfdafxgdsdzzcvcvvkikijxdsvbvvfbbbbxxxsgbnhfdfgffbbffbb
Membe for 2020.
Una maanisha rais anachaguliwa na nani? Matajiri?Kwani tangu lini wananchi wa TZ tulishawahi kumchagua rais??
Mida kama hii ingekuwa tamu kama ungeainisha hiyo miradi ya maendeleo.
Hana zuri hata moja labda kumbeba Bashite pamoja kuwa ana vyeti fekiAmesafisha nchi kwa kasi sana' lazima atengeneze watu wasiomtaka. Mfano:
Wenye vyeti feki na walionunua majina.
Baadhi ya Wafanya biashara wa kawaida na wakubwa
Wastaafu
Baadhi ya wanasiasa wakubwa. Hawa wote wana watu nyuma yao hadi vijijini ambao kwa namna moja au nyingine wameathirika sana na usafishaji wa kasi wa nchi. Unakutana na bibi analalamika makufuli kamtumbua mwanangu sasa sina hata ela ya umeme nyumbani.
Pamoja na safisha safisha Ila Raisi alitakiwa kukumbuka kuwa yeye ni raisi wa wote raisi wa wahalifu, raisi wa waliokosea, na wengine wote. Ni raisi wa wenye vyeti feki, raisi wa watukanaji n.k ukilitanguliza hili utasafisha nchi kwa raha sana. Mfano vyeti feki na walionunua majina pamoja na makosa yao ilikuwa hakuna haja ya kuwaambia moja kwa moja kuwa hampati hata thumuni. Ondokeni. Maamuzi kama haya lazima yataleta impact hata kwake mwenyewe japokuwa hawakutakiwa kweli kuwepo kazini. Wangeweza kuondolewa kwa mpango ambao hata wao wenyewe watajutia makosa badala ya kupata hasira na kujenga chuki na serikali. Kufuta fao la kujitoa na kuweka 25 % inaongeza idadi ya wenye hasira dhidi ya serikali n.k Ila anafanya mambo mazuri pia kwe sekta zingine.
Jiwe aondoke na akafie mbele huko, tumechoka kuongozwa na jitu lishambalishamba hivi!Nimekaa nikitafakari mwelekeo wa siasa ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu 2020, bila shaka kuna kundi au makundi ndani na nje ya ccm yakitaka JPM asiendee tena baada ya 2020, tuhuma na kurushiana maneno kupitia mitandao ya kijamaii na magazeti ikiwamo gazeti la "Tanzanite " lililoshusha tuhuma nzito kwa Bernard Membe kwamba anajipanga kugombea 2020.
Swali la msingi na labda linalohitaji utafiti wa kisiasa, je ni wananchi wakawaida wapiga kura wanaotaka JPM aondoke au ni makundi yenye maslahi yao kiuchumi na kisiasa?
Binafsi JPM kafanya kazi kubwa sana kwa hii miaka 3, especially kwenye kuibua miradi ya maendeleo yenye manufaa makubwa sana kiuchumi kwa kizazi hiki na kijacho.
Jiwe aondoke na akafie mbele huko, tumechoka kuongozwa na jitu lishambalishamba hivi!
Ushamba wake uko wapi?Jiwe aondoke na akafie mbele huko, tumechoka kuongozwa na jitu lishambalishamba hivi!