Kudumisha uhusiano katika ndoa/wapenzi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,208
Reaction score
64,297
  • Kuanzia ijumaa jioni mpaka jumapili jioni ni kipindi kizuri kwa wanandoa/wapenzi kuwa pamoja katika mazingira yenye utulivu na 'romantic' ili kudumisha uhusiano wenu.
  • Ni kipindi cha kupeana zawadi,kupata vinywaji na 'romantic food' huku mkidumisha uhusiano wenu.
  • Walengwa wanatakiwa kuwa smati na kuvaa mavazi ya kumvutia/kumtamanisha mwenziwe huku kukiwa na mziki wa taratiibu kuwakumbusha walikotoka.
  • Maisha yenyewe mafupi,kufanya hivi kunapunguza migogoro katika ndoa pamoja na kupigana vibuti kwa wapenzi.
  • Hata kama mna watoto,mnaweza kuwawekea mazingira wasiharibu ratiba zenu.
  • Wanandoa/wapenzi pambaneni.....ndio maisha yenyewe haya.
 
Itakuaje kwa sisi makapuku na hizo ndo siku muhimu kwenye kazi[emoji4][emoji4][emoji4][emoji1781]?

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Ngoja niuhifadhi huu ushauri, siku nami nikipata Mpenzi/Mke, basi nitautumia

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Itakuaje kwa sisi makapuku na hizo ndo siku muhimu kwenye kazi[emoji4][emoji4][emoji4][emoji1781]?

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
Hata kidogo ulichonacho kinatosha,cha muhimu ni mipango tu.
 
Ni muda mzuri wa kupanda mbegu hasa kwa wale wanaotaka kuja kuitwa wazazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…