Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
Wahenga wa-kizungu walisema; "Distance makes the heart grow fonder"
Shida si umbali, shida uzinzi!




Wahenga wa-kizungu walisema; "Distance makes the heart grow fonder"
Shida si umbali, shida uzinzi!




Nimefurahi... Endelea kujifunzaHe he! nimeiona Jay
Pamoja chiefLDR sio rahisi kama tunavyodhani ila ni kweri hizo sababu zoote zipo sahihi na pia mapenzi ya kweli yanaweza kuwepo na kudumu,
mimi nipo mbali na mpenzi wangu njia kuu ni mawasiliano hasa video call na kipindi cha likizo ndefu either aje au niende....
ni kuwa serious tu! kuna point hapo umezisema..yani ukiona unashawishka kumsaliti mpenzi wango jiulize
"is He/She worth loosing the one you have..!!?"
tatizo vijana tunaendekeza sana tamaa, tuwe na misimamo.
Asante chief kwa kunikumbusha.
Ni kwel ndugu ukiwa mzinzi ni mzinzi tu ..Wahenga wa-kizungu walisema; "Distance makes the heart grow fonder"
Shida si umbali, shida uzinzi!