tzhello Senior Member Joined Sep 7, 2012 Posts 114 Reaction score 52 Jan 28, 2016 #1 Habari wadau, Mada tajwa hapo juu inajieleza, ninashida na hiyo app hapo juu ila nimejaribu njia mbali mbali kudownload nimeshindwa,tafadhali mwenye uwezo wa kunisaidia kwa namna yeyote ile nitashukuru sana, Asante.
Habari wadau, Mada tajwa hapo juu inajieleza, ninashida na hiyo app hapo juu ila nimejaribu njia mbali mbali kudownload nimeshindwa,tafadhali mwenye uwezo wa kunisaidia kwa namna yeyote ile nitashukuru sana, Asante.
Bobbyray JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 1,382 Reaction score 1,801 Jan 28, 2016 #2 Adobe ipi flash player au acrobat
tzhello Senior Member Joined Sep 7, 2012 Posts 114 Reaction score 52 Jan 28, 2016 Thread starter #3 Bobbyray said: Adobe ipi flash player au acrobat Click to expand... Ni ADOBE IDEAS, app kwa ajili ya photo editing kwa android phones.
Bobbyray said: Adobe ipi flash player au acrobat Click to expand... Ni ADOBE IDEAS, app kwa ajili ya photo editing kwa android phones.
Bobbyray JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 1,382 Reaction score 1,801 Jan 28, 2016 #4 Hakuna Adobe ya edit kwenye simu mpaka kwenye Pc
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,240 Reaction score 44,308 Jan 28, 2016 #5 link hii Adobe® Ideas 1.5.1 (27645).apk | Download free android apk files click download from apk server
link hii Adobe® Ideas 1.5.1 (27645).apk | Download free android apk files click download from apk server