Kuna Siri gani nyuma ya Pazia mwezi huu Kwa huduma ya TTCL upande wa DATA ( internet ) kuwa mbaya haijapata kutokea at the same time watu wakipita maofisini kwetu Na kutushawishi tuhamie SMILE?
Who is behind SMILE? Ukipata jibu basi utajua ni yaleyale ya air Tanzania na precision air ya akina chenge na mramba,ya umma lazima ife ya watu binafsi tena walio na nafasi nyeti serikalini lazima istawi na kushamiri.Kuna Siri gani nyuma ya Pazia mwezi huu Kwa huduma ya TTCL upande wa DATA ( internet ) kuwa mbaya haijapata kutokea at the same time watu wakipita maofisini kwetu Na kutushawishi tuhamie SMILE?