Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Hahaaa Dr. Mengi mwenyewe hakuwa hivi. Lazima akuchunguze kwanza.
haahhaa...nataka nianze kukutapeli ww..ww unafaa...nisaidie laki 3 mpenzi
Hahaaa Dr. Mengi mwenyewe hakuwa hivi. Lazima akuchunguze kwanza.
Hello habari
Nimechelewa kidogo kuona topic ya Nyete Madai kuwa ni tapeli...
Lakini ningependa kushauri JF uongozi,
iweke kanuni kuwa kila anayeomba msaada awe Identity Verified,
haitamaliza tatizo as bado kuna watu watatoa fake credentials but naamini litapunguza tatizo.....
inasikitisha,atakuja mtu kweli anahitaji kusaidiwa,na wanajamii wasimtrust….kwa sababu ya huyu mkaka...
ombi linguine ni JF waanzishe mfuko wa kusaidia vijana kupata ajira,humu kuna expertiees wengi,Maxence make use of them...kusaidia life outside JF,
Wasalaam.
Becky.
Nmekuelewa mchangia madanimekuelewa mtoa mada
Hahahaaa kwako niko tayari kutapeliwa. Chungulia m pesa.haahhaa...nataka nianze kukutapeli ww..ww unafaa...nisaidie laki 3 mpenzi
Hahahaaa kwako niko tayari kutapeliwa. Chungulia m pesa.
Hapa stori tu kula kwenu
Sijawahi pewa zawadi ndhuri km ulinipa wa mwaka 2017 may😅😅..nasahauje sasa
Nyete'Hello habari
Nimechelewa kidogo kuona topic ya Nyete Madai kuwa ni tapeli...
Lakini ningependa kushauri JF uongozi,
iweke kanuni kuwa kila anayeomba msaada awe Identity Verified,
haitamaliza tatizo as bado kuna watu watatoa fake credentials but naamini litapunguza tatizo.....
inasikitisha,atakuja mtu kweli anahitaji kusaidiwa,na wanajamii wasimtrust….kwa sababu ya huyu mkaka...
ombi linguine ni JF waanzishe mfuko wa kusaidia vijana kupata ajira,humu kuna expertiees wengi,Maxence make use of them...kusaidia life outside JF,
Wasalaam.
Becky.
😀 good isn't enough baby, better is yet to come.😂😂😂😋...sasa je...hhahaa D!