Kudhalilishana tu

Wanawake wana mambo mengi sana. Wakianza kuzalishwa na kutlekezwa wanalalamika. Wakipendwa na kujaliwa visa lukuki tu.
Ngoja aendelee tu ila mwisho utafika tu ndio atajua kweli.
Huku wenzake wanashinda nyumba za ibada kuomba japo apate mume, kuna mwingine love connect anataka mtu km huyo angalau aolewe yy anacheza.
Mwambie aingie love connect ajionee
 
Hizo tabia ndo za kiswahili..ndomana watu wakioa wanaangalia na chimbuko lenu,sidhan km mwanamke aliyelelewa vizuri na kuwa na hofu na mungu anaweza kutoa siri za mume wako nje maana hapo mnajidharirisha wote sio peke yake km.anavyojidanganya,inabidi bi chau amfunde vizuri kujua thamani ya mume ni nini
 
Hebu nipe nafasi nione km na ww utaweza kunitunzia siri zangu ama vp
 
Mbona hii stori imekaa kiform one vile?? Story imekaa kushoto sana...
 
Wengine penye mapungufu ndo tunataka tujaribu. Ana bahati mie sio shoga yake
 
Mwajuma nani kakununulia bando leo? Manake si kawaida yako kuwepo kwa muda wote huu.
Haaahahh! Hivi umesahau enzi zangu nilikuwa silali. Nimenunua smart phone hamisi ina whatsapp na jf.
 
Ni tabia mbaya tu.
mbona huyo mwanamke alisahau kujisema kama papuchi yake inanuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…