snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,322 Feb 28, 2015 #21 KikulachoChako said: Pole sana...unaonekana bado una makovu ya huba...maana kwa jinsi ulivyopanic.......mungu atakujaalia utapona tu......... Click to expand... kama ulivopoa wewe,hahahahajaha uuuuwih!! some piiiiipo!!
KikulachoChako said: Pole sana...unaonekana bado una makovu ya huba...maana kwa jinsi ulivyopanic.......mungu atakujaalia utapona tu......... Click to expand... kama ulivopoa wewe,hahahahajaha uuuuwih!! some piiiiipo!!
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,769 Reaction score 39,536 Feb 28, 2015 #22 snowhite said: kama ulivopoa wewe,hahahahajaha uuuuwih!! some piiiiipo!! Click to expand... Sijawahi kuumizwa...na sitaumizwa...
snowhite said: kama ulivopoa wewe,hahahahajaha uuuuwih!! some piiiiipo!! Click to expand... Sijawahi kuumizwa...na sitaumizwa...
HALELUYA MOSHI JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 2,121 Reaction score 1,205 Feb 28, 2015 #23 annabrenda Siku zote huwa najiuliza sana mkuu!! wanawake tuna mioyovmigumu sana!! waguse wao sasa hayo machozi yake! hatavdawasco wakat maji mwezi mnaoga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
annabrenda Siku zote huwa najiuliza sana mkuu!! wanawake tuna mioyovmigumu sana!! waguse wao sasa hayo machozi yake! hatavdawasco wakat maji mwezi mnaoga
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Feb 28, 2015 #24 Junior. Cux said: hivi kumbe wanawake hawana michepuko!!!! Click to expand... Wanaume ndio huwa wanaona kama kuwa na michepuko ni haki na halali yao
Junior. Cux said: hivi kumbe wanawake hawana michepuko!!!! Click to expand... Wanaume ndio huwa wanaona kama kuwa na michepuko ni haki na halali yao
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 Feb 28, 2015 #25 Mume wa mtu anauma pia
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 28, 2015 #26 mamayeyoo said: Hahahaha.....nimecheka kinomaaaaa Click to expand... Usicheke cheza na binti vikra anayechngwa kuliko mke wa mtu
mamayeyoo said: Hahahaha.....nimecheka kinomaaaaa Click to expand... Usicheke cheza na binti vikra anayechngwa kuliko mke wa mtu
silasc JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 3,347 Reaction score 1,987 Mar 1, 2015 #27 Tamalisa said: Mke / Mume wa mtu ni mtamu, acheni lakini usiombe ya kukute Click to expand... Hiyo misemo tu... Hakuna utamu wowote zaidi ya kujihalalishia ubazazi tu.
Tamalisa said: Mke / Mume wa mtu ni mtamu, acheni lakini usiombe ya kukute Click to expand... Hiyo misemo tu... Hakuna utamu wowote zaidi ya kujihalalishia ubazazi tu.
E ernest rodrick New Member Joined Feb 28, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Mar 1, 2015 #28 Du ndugu yangu sikushangai ndg yangu hata imenitokea hiyo.
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,340 Mar 1, 2015 #29 Kesho nasafiri toka bukoba jiandae, lasivyo achana na mke wangu.
I iMad JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 1,833 Reaction score 743 Mar 1, 2015 #30 Naangaliaga cheat tv inaniumiza utasema mimi
A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Mar 1, 2015 #31 The deep you love the hard it hurts
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,397 Mar 1, 2015 #32 Mtoto halali na hela said: Asikwambie mtu, kunyang'anywa tu girlfriend inauma sembuse mke. Click to expand... Hata Mume pia anaumaa tena sanaaaaaaaaaaaaa.... ilobaki basi tuu..
Mtoto halali na hela said: Asikwambie mtu, kunyang'anywa tu girlfriend inauma sembuse mke. Click to expand... Hata Mume pia anaumaa tena sanaaaaaaaaaaaaa.... ilobaki basi tuu..
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,397 Mar 1, 2015 #33 KikulachoChako said: Sijawahi kuumizwa...na sitaumizwa... Click to expand... Mwenyezi mungu akuepushie mbali simuombei hata Adui yangu kuumizwa na mapenzi inauma hata kuhadithia siwezi...
KikulachoChako said: Sijawahi kuumizwa...na sitaumizwa... Click to expand... Mwenyezi mungu akuepushie mbali simuombei hata Adui yangu kuumizwa na mapenzi inauma hata kuhadithia siwezi...
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,059 Reaction score 126,638 Mar 1, 2015 #34 Labda pengine mnabanduana kwa Bluetooth!
K kengalo1 New Member Joined Feb 21, 2015 Posts 3 Reaction score 0 Mar 1, 2015 #35 Kama ilivyo kuchukuliwa mume jamqni uwiiiii.
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 8,094 Reaction score 7,841 Mar 1, 2015 #36 Polisi jamii Wewe huna kazi nyengine ya kufanya zaidi ya hiyo? Utaichosha baada ya muda mfupi kama mwendo wako ndiyo huo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Polisi jamii Wewe huna kazi nyengine ya kufanya zaidi ya hiyo? Utaichosha baada ya muda mfupi kama mwendo wako ndiyo huo
Ndesalee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 1,092 Reaction score 522 Mar 1, 2015 #37 Tamalisa said: Mke / Mume wa mtu ni mtamu, acheni lakini usiombe ya kukute Click to expand... Yakikukuta ndio unapata utamu zaidi.
Tamalisa said: Mke / Mume wa mtu ni mtamu, acheni lakini usiombe ya kukute Click to expand... Yakikukuta ndio unapata utamu zaidi.
R ROBEPANA Member Joined Nov 1, 2014 Posts 76 Reaction score 37 Mar 1, 2015 #38 Polisi jamii said: nyinyi kuwa na wanaume wengi ni janga kwenye familia,kijamii na kithamani pia kwakuwa mwili wako unatumiwa na kila mtu unakuwa hufai Click to expand... Hivi ni wapi wameseme kuwa ni mwili wa mwanamke tu ndo unaoshuka thaman kwa kuwa na wanaume wengi ila si wa mwanaume? wote bila kujali jinsia tunashuka thamani kwa kuwa na watu wengi achen kutudunusha sisi wanawake.
Polisi jamii said: nyinyi kuwa na wanaume wengi ni janga kwenye familia,kijamii na kithamani pia kwakuwa mwili wako unatumiwa na kila mtu unakuwa hufai Click to expand... Hivi ni wapi wameseme kuwa ni mwili wa mwanamke tu ndo unaoshuka thaman kwa kuwa na wanaume wengi ila si wa mwanaume? wote bila kujali jinsia tunashuka thamani kwa kuwa na watu wengi achen kutudunusha sisi wanawake.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Mar 2, 2015 #39 miss chagga said: Bulldog Kuna mmoja alimfuata anayemuibia mke kutoka dar mpaka dodoma usiku sa nane usiku nakumpiga vibaya mno... NIKAAMINI MKE WA MTU SUMU KALI Click to expand... Na wewe ni mke wa mtu? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss chagga said: Bulldog Kuna mmoja alimfuata anayemuibia mke kutoka dar mpaka dodoma usiku sa nane usiku nakumpiga vibaya mno... NIKAAMINI MKE WA MTU SUMU KALI Click to expand... Na wewe ni mke wa mtu?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 2, 2015 #40 Bulldog said: Na wewe ni mke wa mtu? Click to expand... mimi ni sumu kali