Tundu Lissu akichoma kadi ya mwana ccm aliyejiunda cdm kule singida.
Hii inakubalika kweli?
Source: Mwananchi ya leo..akili yake yeye ndiyo imemtuma hivyo na kila mtu anafahamu kichwa cha lisu na bado anaendelea na dawa.
View attachment 94824[/QUOTEa]
Tundu Lissu akichoma kadi ya mwana ccm aliyejiunda cdm kule singida.
Hii inakubalika kweli?
Source: Mwananchi ya leo
View attachment 94824
We Mwalimu, kutwa kuwaza watoto wako wa primary, kama wanakuuma mbona kutwa JF, hata huwafundishi? Kuchoma Kadi? wameshakuwa wanachoma Ofisi za maCCM, Mtwara, M4C ya Mtwara ndio matokeo yake http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...k4GoAw&usg=AFQjCNEbJIRH9_t5RwtCaKkQvrIPlNEzVgTundu Lissu hayupo sawa nimeona hiyo picha akichoma kadi ya CCM mbele ya watoto wadogo unadhani anawafundisha kitu gani hao watoto si wanajua siasa ni vita.
Mwalimu, huyo vipi anawafundisha amani eh?Tundu Lissu hayupo sawa nimeona hiyo picha akichoma kadi ya CCM mbele ya watoto wadogo unadhani anawafundisha kitu gani hao watoto si wanajua siasa ni vita.
Tundu Lissu akichoma kadi ya mwana ccm aliyejiunda cdm kule singida.
Hii inakubalika kweli?
Source: Mwananchi ya leo
View attachment 94824
Acha kutuchanganya wewe mwigulu kuvisha mbwa bendera ya cdm alikua sawa?Tundu Lissu hayupo sawa nimeona hiyo picha akichoma kadi ya CCM mbele ya watoto wadogo unadhani anawafundisha kitu gani hao watoto si wanajua siasa ni vita.
Hii inakubalika kweli?
Anawafundisha kuwa CCM ni pepoTundu Lissu hayupo sawa nimeona hiyo picha akichoma kadi ya CCM mbele ya watoto wadogo unadhani anawafundisha kitu gani hao watoto si wanajua siasa ni vita.