Heri ya mwaka mpya JF...natumaini mu wazima. Nina tatzo la kuchoka sana muda wote,yaani nausikiaga mwili hauna nguvu pamoja na usingizi kila mara hali hii inasababishwa na nini?