Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

lol, Erot eti mara kope pwaaaa chini! mi ndo maana hivi hivi nilivyo siongezi kama unanipenda njoo, hutaki tambaa yanini kuhangaika kote huko?

kuberwa amini nakuambia ni aibu mno! naweza nitake ardhi ipasuke. teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Erotica hata mimi nadhani huhitaji kuongeza chochote katika hivyo ulivyovitaja labda hair extensions.

Jinsi upepo ulivyoenda humu ndani mie naona nikubaliane na wewe. Hua situmii vyote hivo.
ni mshamba dizaini, hata kucha zangu asilia sipaki rangi kucha. ila nilitaka nifanye make ova kwa ajili ya majaribio
upande wa kunasa :smile-big: teh teh teh. haya mambo kupata jibu yanafaa practiko.
 
erotica, meno ya bandia nayo vipi katika kuongeza mvuto wa tabasam mwanana kwa mtoto wa kike?
 
Kitu gani ambacho hukuvutia kwa mwanamke? Kile cha kwanza kabisa.
Watoto bwana utawajua tu huwa wanadandia mambo ya wakubwa, na hawaishi vituko, pole sana kwa kujikataa. Lakini utapata mafeki tu lakini ukijikubali Mungu anakupa wa kwako. Yaani hayo unayoyafanya ni sawa na kumwambia Mungu aliyekuumba hana akili na hajui ila wewe unajua kuliko yeye na unamsahihisha. Je, unao ubavu huo mtoto?
 
huna haja ya kutojiamini
utapendwa jinsi ulivo
hakuna kosa kubwa kama hilo la kutojiamini
be simple you will be loved
 
erotica, meno ya bandia nayo vipi katika kuongeza mvuto wa tabasam mwanana kwa mtoto wa kike?

Meno sio tatizo wengi wanayo. ila usha wahi ona dada anahangaika kuweka mwanya?
unachukua vijiti anapachika kati ya mano, siku zinavozidi songa size ya kijiti
chaongezeka hadi mwanya kamili in the house. teh teh teh.
 
Watoto bwana utawajua tu huwa wanadandia mambo ya wakubwa, na hawaishi vituko, pole sana kwa kujikataa. Lakini utapata mafeki tu lakini ukijikubali Mungu anakupa wa kwako. Yaani hayo unayoyafanya ni sawa na kumwambia Mungu aliyekuumba hana akili na hajui ila wewe unajua kuliko yeye na unamsahihisha. Je, unao ubavu huo mtoto?

Wajuaji ni da house. Nimetaja sifa zangu na madhaifu yangu, hio haitoshi kichwani
mwako kuona kua najitambua? sababu nataka kufanya yale ambayo wewe hukubali wala
huamini basi nisha kua mtoto mdogo? Kwa mkurupuko huu uliofanya hapa mimi na wewe
nani mtoto? Umepita na kusoma post zote humu kwenye thread uone flow ya hayo majibishano
uliodandia? Nimesema nina mpango wa kufanya hivo kama unaona haifai kulikua na ugumu
gani wa kuniambia haifai badala ya kuni judge na kujifanya mjuaji? taratibu mkuu.
 
bibi wee....inakuwaga shida sana......mimi huwa nasubiri tulewe chakari ndio shughuli iendelee....na ni mwiko kuover night....
hivi hizo gharama zote nilizotumia atanirudishia.......?

Pretta nawe unaweka hayo makitu? I believe not!
 
dah, sasa sijui inabidi yavuliwe kabla ya denda... maana unawezakuta unameza meno ya mtu hapo labda iwe ni full set..

teh teh teh. hata raha ya denda hamna hapo, utakiss magego?:tongue:
 
mwishowe watakuwa wanaweka mpaka vitovu vya bandia, lipsi za bandia, nipples za bandia et al
 
i see, ni changamoto kubwa sana kuwa mtoto wa kike katika karne hii ya utandawazi ambapo kuna pressure kubwa ya kwenda na wakati, kukubalika kwa peers na kujikubali mwenyewe, au unasemaje erotica?
 
Kama tumekutana kwa ajili ya kupass time, then umbo langu lakuhusu nini? Pata kinachokuhusu mchezo kwisha, hutaki tambaa.....mambo yakuanza kuangalia sijui kucha, macho, hips...kwa mkeooo!!
 
i see, ni changamoto kubwa sana kuwa mtoto wa kike katika karne hii ya utandawazi ambapo kuna pressure kubwa ya kwenda na wakati, kukubalika kwa peers na kujikubali mwenyewe, au unasemaje erotica?

yaani ni full kukuru kakara. ukisikia savaivo for the fittest ndio hii ya sasa.
And it is not cheap. na ukijiachia basi umepotea kabisa, unabaki unang'ang'ana
tuuuu. kaazi kweli kweli. Nakwambia hio effort tunayotumia, hop wanaume wote
wapo appreaciative kwa wapenzi wao kwa kazi kubwa tunfanya juu yetu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom