Kuchimbiwa kisima

Kuchimbiwa kisima

Brine

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
375
Reaction score
71
kwa anayejuwa gharama za kuchimbiwa kisima kwa hapa Dar ni shilingi ngapi?
Kwa mfano mita 60 ni shilingi ngapi?
80, 100, 120 na 150 je? Mawasiliano pls
je na huduma ya survey inakuaje?
 
Mita 60--ml 3.5
-----80--ml 4
-----100--ml 6
-----120-- ml 7.2
-----150-- ml 12
Survey laki 250
 
Mita 60--ml 3.5
-----80--ml 4
-----100--ml 6
-----120-- ml 7.2
-----150-- ml 12
Survey laki 250

habari mkuu, naomba kuuliza hiyo gharama kwa dar ni kuchimba kisima peke yake au na vifaa vyote mpaka kisima kuwa tayari kwa matumizi? na kwa sehemu kama ifakara wilaya ya kilombero ni sh. ngapi kuchimba if possible na gharama ya mpaka kisima kuwa tayari kwa matumizi.
 
Ni gharama za kuchimba kisima tu pump na vifaa vingine utanunua mwenyewe sbb gharama zinatofautiana kutokana na ubora hivyo sisi tutakupashauri ununue pump ya uwezo gani kufatana na wingi wa maji yatakayopatikana
 
Mwenye kisima atajuaje (atathibitisha vp) kuwa kisima kilichochimbwa ni 100m na siyo 63m?
Hata makazini, kuna point inafikia huwa imani tu ndo inafanya kazi... Wakiamua kukuchimbia mita 80 wakati umelipia mita 100, wanaweza... Tena na yale makelele ndo utachanganyikiwa tu kuhesabu mabomba yanayozama chini..
 
Ni gharama za kuchimba kisima tu pump na vifaa vingine utanunua mwenyewe sbb gharama zinatofautiana kutokana na ubora hivyo sisi tutakupashauri ununue pump ya uwezo gani kufatana na wingi wa maji yatakayopatikana

mkuu ahsante sana tuko wengi! mfano kwa siku natumia litre 30,000 je? kitaweza kuhimili matumizi haya kwa mda gani kabla ya kukauka?
 
Unaweza kutumia wiki nzima mfukukizo bika kuzima pump na yasipungue hata kidogo Kisima hakikauki kirahisi labda kiwe kifupi lkn ni nadra sana kisima kirefu kukauka labda iwe miujiza sbb ya mungu mengi
 
thanks mkuu. najaribu kuangalia fursa ya kuwa mjasiriamali wa kuuza maji. ndio maana nimeuliza nisije nikakikausha kabla gharama hazijarudi
 
nashukuru mkuu kwa maelezo, sasa kwa sehemu kama ifakara wilaya ya Kilombero mnachimba? na kwa uzoefu wako gharama ya pampu bora kwa kisima cha roughly mita 100 ni shilingi ngapi?
 
Sehemu zote tunachimba ila lazima ufanye survey ila kwa maeneo yenye miamba migumu inaweza kufika mpaka laki 150 kwa mita
Pumpu nzuri inaweza kufika mpaka ml 1.6 kwa brand za kitaliano na denmark
 
Mkuu hebu dadavua kidogo: Je wakati wa survey unaweza jua iwapo maji yatakayopatikana hapo yatakuwa baridi au ya chumvi? Na je wawezajua wingi wa maji yaliyoko?

Kuna sehemu moja kule mkoa wa Pwani ambapo kuna attempt 3 za kuchimba maji zimefanyika katika eneo fulani bila mafanikio. Ninacho kijua ni kuwa kabla ya kila uchimbaji kulikuwa na survey na jamaa walijinasibu kuwa maji yatapatikana lakini wapi. Na mimi nahitaji kuchimba kisima changu huko ila naogopa sana nisije nikapoteza pesa zangu. Je unanishaurije ili angalau niwe na matumaini kuwa pesa yangu haitapotea bure? Kisima nahitaji.
 
Pwani sehemu gani
Survey haiwezi kujua kama ni baridi au chumvi wala kujua kwa uhakika utapata liter ngapi labda ungesema ni eneo gani inawezekana tukapata ufumbuzi
 
Sasa kama ni hivyo hiyo survey ni ya nini au ni ya kujua gharama za uchimbaji kama hapa pagumu pana mwamba au la
 
Gharama za survey ni kujua uchimbe umbali gani ili kupata maji na yapo au hakuna
Chumvi huwezi kujua ipo bila maji kutoka na wingi wa maji huwezi kujua bila pump test ambayo hufanyika baada ya kuchimba kisima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom