Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Kwahiyo hapa tunavyoongea upo lupango? [emoji38][emoji38][emoji38] Pambana upate makaratasi mkuu uache kuishi kama digidigi[emoji3]
Muuza Simu Used:Kama siku 5 zilizopita nilikuwa nachezwa na machale yaani jicho langu la kulia lilikuwa linanicheza kuashiria kwamba kuna balaa soon litanitokea!
Nikawa naomba mwenyezi Mungu aniepushe!
Nimetoka mkuu ogopa sana pesa ni Rafiki wa kweli anakusaidia haraka sana [emoji28]
Kwahiyo umepenyeza rupia kidogo mambo yakakaa sawa
Ndoto kwa wengi huwa ni sauti ya Mungu
Ayubu 33:14-17
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Mambo yako tunakuachia mwenyewe...
Kama siku 5 zilizopita nilikuwa nachezwa na machale yaani jicho langu la kulia lilikuwa linanicheza kuashiria kwamba kuna balaa soon litanitokea!
Nikawa naomba mwenyezi Mungu aniepushe!
Juzi usiku nikaota nilikuwa naongea na Jamaa yangu kisha wakatokea migration tulikuwa tunaongea Kiswahili mimi nikauchuna nikajifanya sijui Kiswahili mara hao migration wakatuomba vibali vya kuishi hiyo nchi tuliyokuwepo mimi nikatoa feki na jamaa yangu akawa hana wakatukamata wote (Nchi niliyopo jina kapuni)
Sasa jana kweli kwenye mishe zangu kweli migration wakanitokea wananiomba document nikawaonyesha wakanirudishia kisha wakaondoka!
Sasa nikawa namsimulia jamaa yangu mmoja jinsi nilivyoota (sio yule wa kwenye ndoto)akaniambia unajua sometimes Mungu anaongea na sisi kupitia ndoto!
Mara leo sasa Asubuhi na mapema mara likaja likasimama gari la Migration likiwa tayari limeshambeba yule Jamaa niliyemuota kwenye ndoto na baadhi ya watanzania wengine!
Sasa kosa alilofanya Jamaa ni kunipungia mkono kuashiria kwamba tunafaamiana!
Mara paap!wazee wakaja kunidandia na mimi!
Yaani jinsi nilivyoota ikanitokea vile vile bila chenga!
Kuanzia leo sitapuuzia tena ndoto wala baadhi ya ishara ya mwili kuashiria kuna jambo baya linaninyemelea
Hii itakuwa ni ndoto ya kishetani maana haueleweki kwa kuchanganya mambo. Hao jamaa waliokukamata na migration wanahusiana nini, dogo haueleweki?Kama siku 5 zilizopita nilikuwa nachezwa na machale yaani jicho langu la kulia lilikuwa linanicheza kuashiria kwamba kuna balaa soon litanitokea!
Nikawa naomba mwenyezi Mungu aniepushe!
Juzi usiku nikaota nilikuwa naongea na Jamaa yangu kisha wakatokea migration tulikuwa tunaongea Kiswahili mimi nikauchuna nikajifanya sijui Kiswahili mara hao migration wakatuomba vibali vya kuishi hiyo nchi tuliyokuwepo mimi nikatoa feki na jamaa yangu akawa hana wakatukamata wote (Nchi niliyopo jina kapuni)
Sasa jana kweli kwenye mishe zangu kweli migration wakanitokea wananiomba document nikawaonyesha wakanirudishia kisha wakaondoka!
Sasa nikawa namsimulia jamaa yangu mmoja jinsi nilivyoota (sio yule wa kwenye ndoto)akaniambia unajua sometimes Mungu anaongea na sisi kupitia ndoto!
Mara leo sasa Asubuhi na mapema mara likaja likasimama gari la Migration likiwa tayari limeshambeba yule Jamaa niliyemuota kwenye ndoto na baadhi ya watanzania wengine!
Sasa kosa alilofanya Jamaa ni kunipungia mkono kuashiria kwamba tunafaamiana!
Mara paap!wazee wakaja kunidandia na mimi!
Yaani jinsi nilivyoota ikanitokea vile vile bila chenga!
Kuanzia leo sitapuuzia tena ndoto wala baadhi ya ishara ya mwili kuashiria kuna jambo baya linaninyemelea
Hilo ni tatizo linataka kukutokea ww au muhusika wako wa karibuVipi jicho la kushoto likiwa linacheza mara kwa mara