Kuchezewa Mume Wangu Sipendi!!!!

Status
Not open for further replies.

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,223
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

Mwenzenu sikukuuu hizi kuna mume wa mtu kiporo nanisumbua mda sanaaa! Tatizo mkewe baunsa afu ana mkono kinomaa akikupa kichapo utalala wiki mbili unajiuguza jeraha tu so nikaona atanimalizia huu mguu isiwe ishu. Nikamheshimu sijui kumuogopa mumewe nikaka nae futi mia usawa wa bahari.

Shida mwanaharamu, sikukuu mia sinaaa! Nikawaza ndo nilale ndani kweli? Hataaaa! Nikaona simba mkali lakini anazaa itakuwa mkewe kweli? Nikamext tu dear sikukuu majanga! Ikaingia igo pesa ya Kilo 1. Nikasma si haba nikaenda kusuka, hukunashushia zanzi. Nikamtext thank you! Ndo kuanza tunaonana wapi baby usiku! Nikataka nimchambe na kumchabua kunipa laki si pesa dkika kumi anataka anileee! Nyooooooooooo! Nikakumbuka dkika kumi zilizopita nilikuwa sina hata mia acha hio laki! Amenikirimia ukute kwake wamebandika maini ya mbeya!

Nikawa nachat nae kumpa false hope n kumtrick kuwa tuko same page. Lahaula jioni mkewe kapiga simu! Naona unataka KUMBINAFSISHA na KUMTAIFISHA MUME WANGU! Upewe laki ya sikukuuu kwa monyo gani? Mwenyewe sijapewa laki na kwausalama wakolaki hio irudishe kwenye hii namba! Mikwara kibao! Nikaona huyu anataka kunbinafsisha laki yangu. Thunbutuuuuuuuuuu!

Nikaamua nimchemshe kidogo! Nikamwambia sikiza bbieikii, ushajua huyu bwana muhuni hakufai si umuacheee! Niachie mie nisie n choyo. Aliniporomohea mitusi huyo! Na huyu bwana simuachi na nikikushia ama zako ama zangu! Naenda Tanga kukublidisha hadi unikome! Unazni mume ana okotwa? Ama zako ama zangu! leleleleeeeeeeeeeeee! Kuchezewa mume wangu nawambia ntakuumiza untie mada case bureee!

Nachouliza MUMEO ANACHEZEWA AU ANACHEZA NJE MWENYEWE? KWANINI USIMDISPLINI MUMEO? SIO NDO UNACOMMITMENT NAE?
 
Heeeee.... lara 1 kulikon?! umeishiwa bundle ama??
 
Last edited by a moderator:
Pole dada yangu kwa kuingiliwa kwenye anga zako,just s little caution mimi ninadhani inabidi ushughulike na mmeo kwa kuongea naye huenda keshakengeuka kwa kuonjeshwa papuchi za kila aina so keshaonja asali na kesha chonga mzinga!
 
Wewe unataka uchezee waume wa wenzio ila wa kwako asichezewe! Ama kweli mkuki ukipenya yale mafuta ya nguruwe unakuwa mtamu weeee!
 
Mume kama alivyo mtu yoyote yule anahitaji mwanamke mwenye tabia za kike
Anaejua majukumu yake
Na awe na tabia za kiafrika[kama utaolewa na mwafrika anaejitambua]
Awe na uwezo wa kufikirim vyema

Kama hutakuwa na mambo hayo akichezewa jikate na kisu mwenyewe
Wala usitafute mchawi......!!!!!!!!!!!
 
Kunani kubwa la maadui...mume kaingia umeshndwa kumalizia au umeanza style ya chaichungu sijui nan yule na swaga za itaendelea?nakusubir kwa story zaid
 
Haha angalia Lara usije ukableed miez tisa,wengne wamezoea madawa!af huyu mume wa mtt azunguziwaye hapa n mwngne?
 
Haha angalia Lara usije ukableed miez tisa,wengne wamezoea madawa!af huyu mume wa mtt azunguziwaye hapa n mwngne?

Huyu mwengine nilikua nafanya nae kazi. Alikuwa analeta matani ya kikubwa!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…