Kuchepuka raha

Nimeona humu jf kuna mademu wamekuunga mkono saaaana. Ikumbukwe humu kuna watu wenye tabia kama za kwako, wengine waliolewa wakaachika, wengine ni waathirika wa vvu; hivyo wangependa kupata wafuasi wengi. Comments zao zimnipa picha ya nani humu ana tabia kama ya kwako. Mwanamke mwenye busara hashinadani na mwanamume kufanya uzinzi bali hutulia akimuombea mumewe aache tabia hiyo.
 
hivi humu mnajadili nini? Kila nikirefresh page nauona huu uzi ktk NEW POSTS. Kina dada mnafundishana kuchiti au??
 

Hebu kunywa maji kidogo mku alafu tuendelee.

Eti mmeumbwa kutoa hiyo huduma masaa mangapi vile!!! Sasa mbona mnashindwa hadi mnasaidiwa jamani!!! Jikuteni tu mna nguvu za kuibeba dunia kumbe hata kiti huwezi.

Sasa kama wote na mumewe ni wazinzi kama ulivyosema mbona tena unaumia mkuu? I unapewa wa kufanana nawe!!
 
Wacha we!! Kwahiyo hilo ndilo ulilojifunza eti!! Kumbe safari bado ndefu eeeeh!!!
 
Ukiona mwanamume anashindwa kutoa huduma masaa yote ana matatizo ya kiafya. Na kama mumewe ana kibamia na katuambia anachapa hovyo, huyo mwanamke ndio mwenye shida. Ndio maana jamaa anasurura nje (kama ni kweli). Kwa nini wengine wakubali kugongwa na hicho kibamia.
 
Sie wajanja sanaa, huwa hatuchezi mbali, mchepuko anakuwa anafanana na mume kwa kiasi kikubwa,hivyo tunapunguza doubt za watoto kutofanana na mama wala baba.



teh teh teh ivi nyie mnaishi dunia ipi?

kwa mawazo hayoo wanaume zenu wakila njee ata msiwalaumu.
 
Wacha we!! Kila chanzo cha matatizo yenu huwa ni wanawake eeh!!
Basi na huyu mke chanzo cha kuchepuka kwake ni mumewe, ni wakati wa mumewe kumuombea mkewe ili aondokane na dhambi hii.

Sasa unajijua una tatizo why uhangaike na dunia wakati mke ulomchagua mwenyewe unae ndani? Au huwa hamjijui kuwa mna matatizo?
 
Ukiona mume anakukimbia sana jua mtambowako ni mbovu. Hata huko kwenye kuchpuka wanamchora tu na kulicheka dude lake. Hah
 
Wakati hii thread ineanza sikuaminj kuwa ingefikisha page zote hizi.
Kweli mwanamke akichepuka ni taabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…