Aaah kule ndio kwa kujiachia bwana, naanzaje kujibana bana sasa!! Kule ndio kwa kukunjwa vizuri kabisa, yaani ukitoka hapo hata ukipulizwa tu unaanguka kwa jinsi unavyokuwa mwepesiiii.😀😀😀
I guess kwa mchepuko unakukuruka sana, mechi za ugenini lazma ujitume
Marahabaa mpenzi,hujambo mummyto?Dada nakusabahi tu
Kwa collabo yenu tunajikuta tunacheza mziki wenu japo style hatuijui.
Mie sikutaka kumstua maana wamefanana na boss wa mkewe copy kabisaaaa.Una uhakika hao unaolea hapo ndani ni wako???
cc mkemia
Yaani ndio kahangaika weeeeh dume limekuwa gume gume, limeshindikanaaa, mtoto wa watu kajikuta kidogo achizike kwa ugwadu. Si ndio akagundua njia nzuri na maridhawa kabisaa ya kuimarisha ndoa na kujipa amani ya nafsi kwa kupata kipoozeo na yeye. Si unaona sasa hivi hawana ugomvi tena.No espy ain't mean hvyo..yani si kitu kzuri kwa mwanandoa yeyote kufanya hii kitu ya kuchepuka au kumwona mwezie kma mtu mdhaifu au mdgo sana wakati the time ulivyokutana nae ulikuwa humble...OK espy hivi huyu dada anavyochepuka instead of kukaa chini na kujarbu n jinsi gani ya kuweza kunsuru hii ndoa yao inayoyumba hivi kweli kuna kitu kitasaidka hapo...yani bora akajarbu kutafuta njia ya kumbadlsha huyu jamaa
Sie wajanja sanaa, huwa hatuchezi mbali, mchepuko anakuwa anafanana na mume kwa kiasi kikubwa,hivyo tunapunguza doubt za watoto kutofanana na mama wala baba.ukiwaona huwezi ata uliza ni wa nani. unafikiri kila mwanaume ni bogasi kama mme wako???
"Ndoa na iheshimiwe na watu wote".Mwanamke hayo unayo yasema lazima yatakuwa yana toka moyoni kwa mwanamke mwenye roho ya uzinzi ndani yake...ndiyo maneno yako yana mkosoa Mungu pale aliposema ndoa na iheshimiwe na watu wote.....maandiko matakatifu yanasema " mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake bali mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"
Sijui kama uwehi kuwaza athali utakazo pata kwa uamuzi wako huo wa kipepo...
Umeamua kutenda jambo litakalo angamiza nafsi yako mwenyewe... Kumbuka kuna maisha baada ya maisha haya.
Hahahaaa!! Jirani usiogope, wako hawezi kukengeuka bwana.Ni kweli ngabu, lakini unajua hata wale wachache ambao bado wapo innocent wakisoma jinsi wenzao wanavyohalalisha michepuko, nao wanashawishika kujaribu. Bado kuna wanawake waaminifu, japo idadi inapungua kila siku.
yani wewe unayepanick hivi kwa maneno ya keyboards
hakiiii WEWE UNGENIOA MIMI HAKUNA RANGI UNGEACHA KUONA!
Kumbe eeeeh!!!Kha!Mungu jamani mjue anawaona ndoa sio kitu cha mchezo mchezo.
You too.R.I.P in advance mtoa mada maana najua unakoelekea
Tunawapata hukohuko uliko wewe.shukuru Mungu wako sijakuoa mimi huo mdomo ningeuweka super glue.
sio na jipa moyo najiamini maisha yangu huyajui wewe Mrs bogasi.
sijui mnawapata wapi wanaume wa hivyoo kuwaendesha na kushindana
Hebu soma tena upya ulichoandika. Kwani mtoa mada wako wangapi?Wapumbavu wote duniani ni huyu aliendika hii thread
Kabisa espy.Kumbe eeeeh!!!
yani wewe unayepanick hivi kwa maneno ya keyboards
hakiiii WEWE UNGENIOA MIMI HAKUNA RANGI UNGEACHA KUONA!
Sijasema Mimi hivyo hayo ni maandiko acha ubishi badiri tabiaWe mchungaji wa wapi? unavyosema mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe hizo ndoa zinazovunjika kila siku ni mwanamke amevunja? Angalia source ya tatizo ni nini
Hawa wa hivi ndio wanapigiwa hadi na mahouse boy humohumo ndani na hana habari.hahahahahhahahhHHH huu muda amekaa na anabishana na sisi tuko kama sita tunapokezana !
yeye peke yake manake ameshinda humu!
kama ni simu sijui muda gani kamtakia hata hali mkewe!
yet anajipa moyo HACHEPUKI,sijui mimi mwanamke hanifanyii huu ujinga!
AHAHAHAHHAHAA hakyanani!
Hivi huyu Mungu huonana na wanawake tu!! Basi sawa kama ndio hivyo.Ni muhimu kukumbuka kuwa kila jambo lina mwisho, na mwisho wa jambo moja ni mwanzo wa jambo lingine. Mwisho wa wewe kuwa duniani ni mwanzo wa wewe kuonana uso kwa uso na Mungu anayekuona na asiyependa unayoyafanya.
NIKWAMBIE KITU!
KWA AINA HII YA KIBURI AND MIGHTY!
mkeo ANAFIKIRIA,ANAFANYA ZAIDI YA HAYA!