PointlessUsitafute usawa kwa sababu wazazi wako walipokea Mali,wazazi wa mume wako hawakupokea mali
Siku hizi umepata wapi?? Hii hekima mpenzi wangu mwajuma..![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mama hebu leo usiku anza kusali tena mpe Mungu jukumu awarekebishe. Ukisali kumrudisha mume ama mpenzi aliyekengeuka ama kudangangika yataka uvumilivu yaweza chukua miezi hata 6. Rafiki yangu aliachana na mpenzi wake kisa kapa mchepukk/mpenzi mwingine alianza kusali neno lake kuu 'MUNGU WANGU NAJUA NILIMPENDA NA KUMUHESHIMU, NILIJITOA KWA DHATI ILA IKIWA NI MAPENZI YAKO BASI ARUDI ENDAPO HUKO ALIKO SIO MIKONO SALAMA' niliona huyu best ni chizi mwanaume kamsusia kampa kibuti akituma sms hajibu 6 months bado anaimani?? Kilichotokea yule kaka alikuja kumtafuta akaomba msamaha kabadilika dharau kaacha wameoana juzi
Wewe ni Lady?Pointless
Ndio, enheeeeWewe ni Lady?