Mwanaume akichepuka huitwa dume la mbegu, mwanamke akichepuka malaya. Hivyo ndivyo jamii ilivyotengenezwa.
Wanaume tunaona kana tuna haki vile na ukichapiwa utaona umefedheheshwa sana.
Sisi wote ni binadamu na tuna hisia sawa za kuumia na kufurahi. Tofauti iliyopo ni uvumilivu tu kwa wanawake upo juu na wanaume ni ziro kabisa.