Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Mbona hio iko wazi sana, Unampenda kwasababu ya mavazi au muonekano au pesa au perfume kama mmoja wa Dada zetu alivyosema juzi hapa jukwaani kuwa anawapenda sana Brothers za Benki........
Ukifika huko unakutana na vitu vya tofauti kabisa kabisa, ndio unaanza kujiuliza, hivi huyu nae ndio yule kweli au nimekosea?? Niliwahi kuwa na demu mkali sana wakati niko UDSM, ni mzuri kwa kila kitu ni Mnyiramba! Niko Fourth Year yeye yuko First Year, duh mwanangu alikua ananuka kikwapa ni balaaa, ila akiwa nje anavyotembea, na hio jinzi ilivyomkaa, lazima upigane umapte!!
Ni hatari sana tunapomtafuta mtu au kujmpenda mtu kwa ajili ya maumbo, muonekano au mavazi n.k na kuyaacha mambo mengine ya msingi.
Ni hilo tu kwa leo
unamaana kwamba hutakiwi kula kisamvu kila sikuHata chakula haiwezekani kula cha aina moja kila siku
unamaana kwamba hutakiwi kula kisamvu kila siku
Ndio hivyo mkuu
Ndio hivyo mkuu
hata watoto wenyewe hufikia kipindi wakagoma nyonyo...
Ah ha ha ha ha duuu, soma wewe
Yawezekana bado upo kwenye honeymoon, subiri mzoeanemmmmm,mbona wengine tumeridhika na mmoja,sio wote wanao chepuka ...
Asalam Jamii,
Iko ivi unakuta mtu anahitaji kitu tena kwa viapo ooooh jamani mimi nikimpata fulani apo ndio mwisho wangu yaani nitatulia yani brabra nyingi. Ila sasa akimpata wiki tu ataanza vijimaneno oooh mtu mwenyewe yupo hivi mara kafanya vile, mara yupo ivi yaani ili mradi tu atafute pakutokea Nilichogundua ni kwamba sisi binaadamu haturiziki hata iweje
Sisi wanaume hata tuwe namsichana mzuri kiasi gani lazima tutatamani kutoka nje tu na kina dada hata uwafanyie nini kazi bure tu ukiwa na kibamia tatizo ukiwa umejaliwa tatizo, ukiwa tajiri tatizo na ukiwa maskini ndio kabisa #ukitaka cha pekeako chuma mgomba uweke ndani #tuvumiliane tu na kuheshimiana ila kuchepuka hakuna tiba.