Habari zenu wakuu,
Naomba kuuliza, ikiwa basi linalotoa huduma za kusafirisha abiria mikoani limechelewa kuanza safari bila sababu maalumu, abiria wanatakiwa kuripoti wapi?
Naomba kama kuna mtu anafahamu namba ya simu ya Serikali/taasisi zinazosimamia usafiri wa abiria atume hapa ili turipoti jambo hili
Nimecheleweshewa safari ambayo ilikuwa ianze saa moja na nusu asubuhi mpaka sasa hatujui tunafanyaje? Kila mtu analalamika hapa, na wahusika hawana jibu la maana
Asanteni