hiyo inaitwa OverDue kwa lugha isiyo rasimi au Post-Maturity au Post-Datism!
UNakuta mimba inaenda zaidi ya week 42 wakati kwa kawaida 37-40 weeks.
mara nyingi inaweza kuwa tatizo la mtoto au mama maana wote wana play part katika kuanzisha uchungu.
Si kitu kizuri hivo ni vema aende hospitali akaanzishwe Uchungu maana zaidi ya week hizo placenta inakua ishaanza kuchoka na haitokua inampatia mtoto virutubisho chini ya kiwango.