Kuchat na wanaume wengine full stress. ..

Kuchat na wanaume wengine full stress. ..

Ndio Mzazi sasa kafumania meseji na Lugha zenyewe ndio hizi, utaambulia patupu aiseee
Gal: Hi sweet,,umeamka aje??

Boy: Aaaawwww,,am gyud
shwyiraeh,,WBU??

Gal: wbu ni nini??

Boy; Loool,,dunderhead,,smh,,t
'mins
'Wat Bout You ',,daah!!

Gal: oooh,,unajua vtu zingine
naoneaga kwa gazeti ama Tv!!
hehe

Boy: hehe,,anweh,,HhUB??

Gal: hio nayo ni nini??

Boy: OMG!! ho my sapozd to chat
if
u nah get naen? it mins How have
U
bin yawa!!

Gal: Boi,,kwani unaongeaga
kihibirania sku izi??nkt,,sawa,,So
leo ju unakam unataka npike USA
ama USBzM??

Boy: loool,,and wt r thoz nw??

Gal: ooh,,thot unaelewa
kihibirania yote?? inamin unataka npike Ugali
Sukuma na Avocado ama Ni Ugali
Samaki Na Bolingo za Mbuzi??

baff!!next tym uchat ka mtu ako na akili
unaskia?ulfkiria ww tu ndo
unajua kuongea in Tongues ?Funda!!
Boy: oke.
 
Nachukia watu wanaoandika kama shuleni kwao kuandika vowels ilikuwa kesi.
Mtu haweki i,e huwa nawambia warudie maana sijaelewa
 
Mayankee wa siku hizi lugha zao ngumu kweli. Mi ukintumia ms hivyo uisubiri ijijibu yenyewe maana sitosumbua akili kuielewa.
Na haka kamtindo ka kubadili maneno saivi 's' ni 'x' duh. Hata sielewagi wanafupisha nini

Nakubaliana na wewe...hiki kizazi ni kama wanafanya mambo bila kutafakari!

Mfano mtu anaandika "kuxoma" badala ya "kusoma"; Mantiki yake nini hasa?! Ujinga mtupu!
 
Back
Top Bottom