Kuchapiwa siri ya ndani-Ommy Dimpoz

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,991
Wadau mimi binafsi napenda sana nyimbo hizi:
ukimwona by Diamond
kuchapiwa siri ya ndan by Ommy D..
Naomba kujua ni wapi naweza download beat za nyimbo hizi?
 
Wimbo gani wa Ommy Dimpoz unaitwa 'kuchapiwa siri ya ndani'?
Au una maanisha wimbo wa 'roho yangu' wa Rich Mavoko?
 
kichapiwa ni siri ndani ni ya Rich Mavoko sio Ommy Dimpoz
 
kichapiwa ni siri ndani ni ya Rich Mavoko sio Ommy Dimpoz .Nenda Hulkshare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…