Kuchapiwa ni siri ya ndani

Walikuwa wanatafuta sababu tu hawana lolote!
Eti kila siku huwa nawatukana ndo wafute comments nyingine siwange ni ban watoe na sababu. Watu wengine wana bore sana kwa kutokujiamini kwao. Na hayo matusi ni yep I. Wa enjoy kukoment wakipendacho kwa raha. Mihemko na kazi wapi na wapi
 
Yani nilisikitika juzi ulikua innocent kuna watu wana chuki za kijinga sana plasi utoto yani. Kujiona wamefka.
Best mie nipo tu ila kule ndo bye bye tena

ndo walivyotaka hivyo so tuwaachie uzi wafanye wanachojiskia
 
Viol sorry tumeingiza story out of topic kwenye Uzi ulioanzisha.
 
Last edited by a moderator:
very sad we will miss our king kiba halafu matola anatetea upuuzi ulee
Bora tu u miss ai make sense una comments wanafta tu bila sababu na kudai wanatukanwa eti siku zile niliwatukana.
Mi upumbavu siuwezi jukwaa lenyewe siku hizi lina uswahili na umbulula mwingi. Zamani lilikua zuri.
 

Ntapataje maneno matam kama haya sikuachi nikichapawa ni siri yangu
 
Last edited by a moderator:
atoto unavote lakini
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…