Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,302
- 17,857
Naunga mkono hojaNaomba kuuliza kwamba...... wewe unamke, ama umeoa?

Ahahahaa,si kwa hawa viumbe ndugu,fanya yote hayo lakini utachapiwa tu,kikubwa tambua kuwa litatoa tu,Sizungumzii mwanamke mkuu nazungumzia mke wa ndoa kabisa aliyeamua kuolewa na wewe na kujitoa kwa kila kitu kwenye maisha yako.
Kibaya zaidi unachozungumza ht hukijui. Hlf huenda ht hujaoa, ht km umeoa huenda mke wko anamwegwa vzrKugongewa mke wa ndoa uliyemuoa na wengine nje kunatokana na sababu mbili
1. Hajapata show ya uhakika yaani humgegedi vizuri unadandia kama unadonoa mahindi.
2. Humtunzi vizuri anakuomba hela ya kusuka humpi au humpi matumizi kabisa hata chupi mpya humnunulii anavaa zimetoboka sometime anazishona mpaka na Uzi mweusi. Sasa akikutana na wanaume huko wakampatia laki mbili unadhani kwanini asiwatunuku?
Na ukiona vyote unampa pesa na show mashambulizi ya maana na bado anatoka na mipango ya kando basi tambua ulioaga KAHABA.
Sawa.lakini hizi nilizosema ni kubwa kabisaSababu za kuchapiwa zinatofautiana
Mkuu acha tu, kuna mmoja hapa ana gubu so la nchi hiiSawa.lakini hizi nilizosema ni kubwa kabisa
Mkuu unamaanisha kama mtu hana pesa za kutosha asioe?
mbona vijijini unakuta pesa ni kidogo lakini
watu wanaishi vizuri kwenye ndoa zao.
Mi nadhani umesahau sababu kubwa
kulipiza kisasi. Hayo mengine ni nyongeza.
Kugongewa mke wa ndoa uliyemuoa na wengine nje kunatokana na sababu mbili
1. Hajapata show ya uhakika yaani humgegedi vizuri unadandia kama unadonoa mahindi.
2. Humtunzi vizuri anakuomba hela ya kusuka humpi au humpi matumizi kabisa hata chupi mpya humnunulii anavaa zimetoboka sometime anazishona mpaka na Uzi mweusi. Sasa akikutana na wanaume huko wakampatia laki mbili unadhani kwanini asiwatunuku?
Na ukiona vyote unampa pesa na show mashambulizi ya maana na bado anatoka na mipango ya kando basi tambua ulioaga KAHABA.
mwambieni huyu jamaaBaba mwanamke hata umuonge dunia kuchapiwa utachapiwa tu
Baadhi ya wanawake hawana wemaKugongewa mke wa ndoa uliyemuoa na wengine nje kunatokana na sababu mbili