Kuchapa watoto

Eli79 .... hata kama age yake is okay kumchapa, personally, I don't think I can do it!, halafu Kibongo bongo as you mentioned na matusi juu!, kosa gani Mtoto anafanya mpaka kutukanwa?!, that's so not teaching them,that's just KILLING THEIR SELF CONFIDENCE!
 
Last edited by a moderator:
 

sikubaliani na atakayepinga adhabu za bakora moja kwa moja ingawa pia sipendi kupiga mtoto kama mbwa mwizi au kama unapiga mkubwa mwenzako.
Na hata fimbo zinaendana na umri na kosa la mtoto.
Na fimbo isiwe ndo kosa limeanza tu, na hapo hapo fimbo zinatumika inakuwa si nzuri.
Sijalelewa kwa kuchapwa ingawa nilishachapwa kama mara mbili na baba, nilicjapwa sababu nlikuwa narudia yale ninayokatazwa na mpaka nichapwe basi nakuwa nimepitiliza.
Nami najitahidi kuchukua mazuri ya walezi wangu katika kulea hawa watoto.
Fimbo ni adhabu ya mwisho kabisa
 
 
Kweli tena kuna watoto bila viboko hawaelewi

Nakuunga mkono Mkuu, hizo nchi zilizojidai kuondoa achabu kwa watoto mfano USA mbona tunashuhudia mtoto akichukua bunduki na kwenda kuwashambulia wenzake. Mimi mwanangu akikosa. ni kichapo kwenda mbele, asipokosa ni rafiki pili baada ya Mama/ Baba yake.
 
Mitoto?? Hahahahaa...sounds like you have given up....
Kama ikibidi kuchapa kufanywe sio kwa nia ya kudhuru mwili....ni vema akichapwa ajisikie vibaya kwa kosa lake...na sio kuumia.
Binafsi mara chache nachapa.....

Kuna mitoto usipoi chapa haiendi kabisa
 
Hongera sana kwa hilo hukuwa mtoto mtukutu. Kuna watoto wanazaliwa Baba mmoja Mama mmoja lakini kitabia wako tofauti kabisa hivyo kuna wengine wanahitaji kuchapwa. Ila mimi binafsi sipendi kipigo cha mbwa mwizi au corporal punishment. Kama kuchapa basi iwe ni kiasi na pia si kuchapa ile ya kupiga hovyo hovyo tu kwa hasira ambayo inaweza kabisa kumuumiza mtoto na badala ya kumrekebisha anakuwa sugu na labda kuharibika zaidi..

....sikumbuki kuchapwa mkuu!, nakumbuka kugombezwa sana but si kuchapwa, and I came out pretty good...lol!
 
Reactions: kui


Uwii, kitambo sasa na hii.
Thanks BAK ni kweli,..was a good kid.🙂

Na hao wanaochapa kama vile anapiga mtu mzima, asee hapana kwa kweli. Na kama unavyosema wanaweza kuharibika zaidi.
Yaani kuchapa watoto sijakubaliana nayo.
 
Reactions: BAK
Kuna watoto ni very manipulative...na very tricky....akijua hakuna kuchapwa..ni usumbufu 24/7....nina relative ambao hawachapi watoto...hawawezi hata kuongea na wageni kwa kitulia...watoto wanataka attention all time...
Inakera sana hii kitu...Mimi nishaweka rules kwangu na zinafahamika tangu wanakua.Ukiona nina mgeni salimia then chapa lapa.Kinyume na hapo kakofi ka makalioni kanahusika na ukalilie nje sio hapohapo.Na hili mama yao hapaswi kuingilia
 
Umenena vema mkuu lakin tatizo siku hizi uzungu mwingi na movies zinaharibu watoto
Zamani ilikuwa ngumu sana kuona baba kaka kochi moja na mwanae wa kike miaka kama 13 hv....but now ni kawaida mtoto balehe tayari bado anaguswa guswa na baba ake.NI HATARI
 
Spare the rod and spoil the child.

Even the Bible says and yes, I will take the literal meaning.
 
Mimi nadhani tusi-ignore fimbo kabisa, bali iwe ni last punishment. Hata Holy Bible inasema mtoto mdogo anahitaji fimbo ili kuondoa ujinga kichwani. Kuna watoto ni wasikivu sana na kuna wengine kwa kweli ni lazima fimbo itumike ndio aelewe , ila fimbo zitumike kwa kiasi na kulingana na umri wa mtoto.
 
Naona ni kama kuwatia hofu tu wasirudie tena.
Kwa familia niliyokulia baba na mama wa nyumba hiyo walikuwa wanaongea na wewe kwanza. Adhabu ilikuwa inakuja pale utakapofanya swala ambalo hata wewe mwenyewe unaona ni la kipuuzi kabisa.
Bado pia adhabu haikuwa ya kukuumiza au kukukomoa na wala haihusishi kutopewa chakula.
 
Reactions: kui
Mimi milichapwa sana nikiwa mtoto, dada na kaka zangu wamechapwa sana pia labda tusinge tandikwa ipasavyo adabu na utu vingetupita.

Na watoto wangu will not be spared, fimbo na adhabu nyingine zitawahusu.
 
Aseee! Kumbe kuna watu waliokuzwa kama Punda?

Kwao viboko vilikuwa sawa na petrol kwa gari.

Ndo maana tunashuhudi jamii yenye mijitu katili sababu walianza kufanyiwa ukatili tangu utotoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…