P Papa1 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2012 Posts 2,023 Reaction score 2,218 Apr 25, 2021 #1 Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Nahitaji kuchapisha kijarida chenye kurasa kama 20 hivi. Ni application gani ya computer itanisaidia kupanga karatasi kwa namba kwa usahihi.
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Nahitaji kuchapisha kijarida chenye kurasa kama 20 hivi. Ni application gani ya computer itanisaidia kupanga karatasi kwa namba kwa usahihi.
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,927 Reaction score 12,454 Apr 25, 2021 #2 Papa1 said: Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Nahitaji kuchapisha kijarida chenye kurasa kama 20 hivi. Ni application gani ya computer itanisaidia kupanga karatasi kwa namba kwa usahihi. Click to expand... Hata word inaweza. Tatizo hapo ni printer
Papa1 said: Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Nahitaji kuchapisha kijarida chenye kurasa kama 20 hivi. Ni application gani ya computer itanisaidia kupanga karatasi kwa namba kwa usahihi. Click to expand... Hata word inaweza. Tatizo hapo ni printer
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,515 Apr 25, 2021 #3 Word, publisher zinaweza issue ipo kwenyw kuset printer hasa kwenyw page za kugeuza