Elections 2010 Kuchangia mabadiliko tanzania

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
HAYA WALE WANAOPENDA MABADILIKO UTARATIBU WA KUCHANGIA CHADEMA NI KAMA IFUATAVYO TUMA UJUMBE "CHADEMA" KWENDA 15710 KILA UJUMBE NI SHS 350/= TU KWA WATEJA WA ZAIN NA VODACOM TU. TUMA KADRI UWEZAVYO.

WAHUSIKA SAMABAZANI HAYA MABANGO MITAANI WANAOTAKA KUICHANGIA CHADEMA NI WENGI SANA.. TAFUTENI UTARATIBU WA WATU WA TIGO KUCHANGIA PIA.

51pqoo.jpg

naona hazikatwi hela; sina uhakika kama set up za mitandao hiyo ziko sawa; wajumbe lihakikisheni hili linafanikiwa haraka iwezekanavyo maana nahisi kuna hujuma pia ktk hili
Mwisho walahoi wengi tuko tigo; kwa nini wasitufikie kipindi hiki? TIGO Pls connect this
 
Kweli Malunde.
 
Nasikia Tigo wameenda wametolewa nje na tigo managemnt
 
Back
Top Bottom