Kumbo El Capitanol
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 286
- 237
Mapovu veeeepe..!!!!!.This game doesn't need to be pissed Off.
Ww ndio wale wale mwl wako kingereza ulimpiga nn ww ? Ndio mmejifunza singular tense kwanza jitahidi kuwahi utaelewa tuFirst thing first, write "common sense is not common" not "common sense are not common".
If you want to condescend, at least get the language right.
Jifunze kuandika sentensi kamili kabla ya kutaka kuchapa wanafunzi kama mwalimu wa Mbeya kwanza.Ww ndio wale wale mwl wako kingereza ulimpiga nn ww ? Ndio mmejifunza singular tense kwanza jitahidi kuwahi utaelewa tu
Nenda uko ukadisko n mbwembwe zakoWe ni ****** ata elimu yako inaonekana haijakusaidiaa
Kama uliona bahati kupenya kwenda chuo sisi tunakuchomoa huko huko na ul*** wako hatutaki kubahatisha ssWewe tatizo lako nini?
Umelazimishwa kusoma?
Hujajibu uliloulizwa, ulilojibu hujaulizwa.Kama uliona bahati kupenya kwenda chuo sisi tunakuchomoa huko huko na ul*** wako hatutaki kubahatisha ss
Unaweza ukajua unawatoto saba kumbe huyo wa saba ni huyu k****a na unauza mashamba yako umpeleke akasomee degree za kupiga wenzake kama ng'ombe vileJifunze kuandika sentensi kamili kabla ya kutaka kuchapa wanafunzi kama mwalimu wa Mbeya kwanza.
Ndalichako a kuwepo miaka iyo ya 1950 kuingia chuo ilikua ka kuvuka bara bara saiv ukiingia u a really genius so acha wafurai ka uumwi kwa wao ku furai never mindJamani tuwe waungwana basi kila anayechaguliwa chuo leo anataka kuanzisha thread yake tutakuwa na threads ngapi na ukumbuke ww sio wa kwanza kuchaguliwa chuo watu miaka ya 1950's wapo vyuoni wanasoma hivyo vibachela vyenu
Usomi ni kutumia ulichojifunza vizuri na sio kutuambia umechaguliwa kusoma nini
Mbona mkisapu au carry over hamji kuposti jf

Ntakuchangamkia we kilaazaNenda uko ukadisko n mbwembwe zako