Ah hata hakuna asiyesoma hapaMmmmh uwaache na furaha yao.
Kweli kabisa lakini ushamba nao ni sehemu ya maishaWanafunzi wa Secondary wana shida.
Unyani unyani tu bora kuwaambia yaani sawa na kurudi shuleni na kumfunza babako aeiou na ukajifanya ww ndio unajua babako hajui kituhahahahaha mkuu umewakata stim
live mkuuUnyani unyani tu bora kuwaambia yaani sawa na kurudi shuleni na kumfunza babako aeiou na ukajifanya ww ndio unajua babako hajui kitu
We ni kilaza ata elimu yako inaonekana haijakusaidiaaJamani tuwe waungwana basi kila anayechaguliwa chuo leo anataka kuanzisha thread yake tutakuwa na threads ngapi na ukumbuke ww sio wa kwanza kuchaguliwa chuo watu miaka ya 1950's wapo vyuoni wanasoma hivyo vibachela vyenu
Usomi ni kutumia ulichojifunza vizuri na sio kutuambia umechaguliwa kusoma nini
Mbona mkisapu au carry over hamji kuposti jf
ahahaaaa madogo wana tabu kweliWaache wajinafasi, kwani umelazimishwa kuchangia?
What's next? Kila mtu akitaka kuanzisha thread ya birthday yake utalalamika threads za birthdays nyingi sana?
Kama kuna tatizo Mods watatuambia.
Kweli ww ni kirangaWaache wajinafasi, kwani umelazimishwa kuchangia?
What's next? Kila mtu akitaka kuanzisha thread ya birthday yake utalalamika threads za birthdays nyingi sana?
Kama kuna tatizo Mods watatuambia.
Kweli mkuuahahaaaa madogo wana tabu kweli
Waacheni wajinafasi, msitake kuwahasi kwa sarakasiahahaaaa madogo wana tabu kweli
Kweli ww ni kiranga
Yaaani kiherehere shauku mbwebwe nakuzani ww ndio unaanza sasa unafiri hata hizo birthday baadhi ya tarehe zitafanana ndg
Just use ur mind # common sense , because common senses are not common to all pple
He kama wanaomba taarifa kuhusu chuo husika? ukiwa unaanzisha thread fikiria kwanza,hivi shule hazijafunguliwa tu???Jamani tuwe waungwana basi kila anayechaguliwa chuo leo anataka kuanzisha thread yake tutakuwa na threads ngapi na ukumbuke ww sio wa kwanza kuchaguliwa chuo watu miaka ya 1950's wapo vyuoni wanasoma hivyo vibachela vyenu
Usomi ni kutumia ulichojifunza vizuri na sio kutuambia umechaguliwa kusoma nini
Mbona mkisapu au carry over hamji kuposti jf
Hawa ndio wanaediti profile zao kabla ya kujua course watakazosoma mfanoWaacheni wajinafasi, msitake kuwahasi kwa sarakasi
Watapiga pasi kwa kasi pasi na wasiwasi
Wache wapite balehe, kwa raha na mustarehe
Wache wafanye sherehe, kwa nderemo na kelele
Wakikua wataacha, wenyewe watayakacha
Ya utoto yatachacha,
katika kutafuta Kwacha pacha ka bwana Macha
Wewe tatizo lako nini?Hawa ndio wanaediti profile zao kabla ya kujua course watakazosoma mfano
Bvm muhas