Mkuu weka picha basihuyo jamaa aliyemtaitisha afande atakuwa mjeshi...
vinginevyo kama ni raia kibongobongo atakuwa amesharestishwa in pisi au ana kesi ya uhujumu uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio siasa, Jiwe, Humphrey na Bashiru wanaumia wakiona hivi.