Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,427
- 1,475
Wanajamvi kwa muda mrefu nikisoma baadhi ya matangazo ya kazi wanataka CERTIFIED certificates.Nimekuwa nkipuuzia hlo suala ila mambo hayawi mambo.(spat kaz)Jamaa yangu m1 ni mwanasheria akaniambia kuwa ni vyema ni CERTIFY copy za vyet vyangu kwa kugonga muhuri wa mwanasheria ili kuwa rahsi kupata job.Nashkuru Mungu nimeshafanya hvo.Ila je nauliza hlo suala lina ukweli gan katka soko la ajira??na kama lina ukweli wanajamvi tuelimishen ambao hatuna ajira.Naomba kuwasilisha