Kubuntu 10.10

Kubuntu 10.10

paschal poj

New Member
Joined
Aug 28, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Jamani naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya ku connect kubuntu 10.10 na internet via airtel modem
 
Nadhani inategemea design, kwani zilizokuwa zinatolewa hapo nyuma nyingi haziko compatible na Linux OS. Kwa zilizo sokoni zinazofanya kazi na Ubuntu, Kubuntu, Xubuntu etc ni za Zantel na TTCL.

Binafsi sijasikia kuhusu Airtel na Vodacom.
 
Back
Top Bottom