Kuboresha maradufu ligi ya basketball

Kuboresha maradufu ligi ya basketball

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Kama nchi lazima tuwekeze kwenye miradi inayotengeneza fedha (money generating project) Katika jitihada za kuongeza vyanzo vingi vya mapato ntahakikisha Tanzania tuna-kuwa na better ecosystem ya mchezo wa basketball,

NIKIWA RAIS WA TANZANIA kutajengwa Arena 23 kwa ajili ya ligi ya basketball zenye capacity ya watu 25,000 na zitakuwa kwenye miji ifuatayo na mkoa kama dsm zitakuwa mbili
  1. Dsm
  2. Dodoma
  3. Mbeya
  4. Arusha
  5. Moshi
  6. Tanga
  7. Bukoba
  8. Kigoma
  9. Morogoro
  10. Iringa
  11. Mtwara
  12. Tabora
  13. Singida
  14. Sumbawanga
  15. Mpanda
  16. Njombe
  17. Lindi
  18. Songea
  19. Kahama
  20. Musoma
  21. Geita
  22. Tunduma

Kutakua na Southern conference na Northern conference lengo ni kuwa na ligi bora ya basketball kwa bara la Afrika yenye miundombinu mizuri na ya kisasa

Lengo ni serikali kukusanya mapato zaidi ya tsh billion 500+ kwa mwaka kutokana na mchezo wa basketball na Multiplier effects yake naamini kwa kuwekeza kwenye hiyo miundombinu tutakuwa tumeongeza chanjo kipya cha mapato

 
Sawa Mr president to be tuko pamoja...mpaka tupate Kina Jordan wetu...
Tuko bize na nba kwanini tusiifanye ligi yetu ya basketball kuwa ya kisasa na ikavutia watu wengi wa mataifa ya nje wakaifuatilia sababu uwezo huo kama nchi tunao
 
Kutakua na Southern conference na Northern conference lengo ni kuwa na ligi bora ya basketball kwa bara la Afrika yenye miundombinu mizuri na ya kisasa
 
Back
Top Bottom