Kuboost network

May 12, 2017
10
0
Habar zenu wana jf,naomben Masaada wa maelekezo namna ya kuboost network coz huku ninakoish mtandao wa internet ni shida kidogo haipatikan hata 3G,lakn nikiwa seburen naipata 3G na inafuction kwa kias lakn nikitoka hatua 1 tu kutoka pale inapoteza mtandao na kubak haruf E.tafadhalini wandugu msaada ktk hili kama linawezekanika
 
Tafuta wireless router za 4G uwe unawasha wi-fi tu tena mtashea wewe na ndugu na jamaa zako.
 
nenda kwenye configuration ya modem yako set 3g only or 4g only kama modem yako ni ya 4g

ukiweka auto ni kwamba modem itakuwa inarotate from utm edge to 3g/4g so itakusubua ukihamia kwenye sehemu yenye low signal
 
Tafuta wireless router za 4G uwe unawasha wi-fi tu tena mtashea wewe na ndugu na jamaa zako.
Niliwahi kwenda ktk ofisi moja ya mtandao wa simu kwa tatizo hilo la network nikitaka kulimaliza kwa kununua hiyo router wakaniambia sio suluhisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom