Kubook training TaESA

Kubook training TaESA

Giloh

New Member
Joined
May 11, 2024
Posts
1
Reaction score
2
Habari zenu wapendwa. Samahani Nina changamoto kwenye kubook training, inaniandikia no data na nilishapata registration namba, na pia kwenye dashboard yangu upande wa taesa training inaniandikia (pending). Sijui kama ni Mimi tu Mwenye hii shida au.. Mwenye kujua shida ni nini atuelekeze tafadhali.
 
Wapigie mkuu wenyewe ndo watakupa maelekezo mazuri au nenda ofisini kwao
 
Habari zenu wapendwa. Samahani Nina changamoto kwenye kubook training, inaniandikia no data na nilishapata registration namba, na pia kwenye dashboard yangu upande wa taesa training inaniandikia (pending). Sijui kama ni Mimi tu Mwenye hii shida au.. Mwenye kujua shida ni nini atuelekeze tafadhali.
Ulifanikiwa?
 
Habari, samahani naomba ufafanuzi juu ya mchakato mzima wa ajira kwenye mfumo wa TAESA?
 
Back
Top Bottom