Kubleed baada ya kujifungua!!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakuu naomba ufahamu wa hili suala.

Kumekuwa na maada hapa iliyokuwa inaongelea muga gani kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua aidha kwa njia ya kawaida au kwa operation.

wengi mlichangia na michango yenu ilikuwa ya kuelimisha sana;lakini wakuu baada ya kuchunguza sana na nimepata maswali yafuatao;

Je muda uliowekwa kufanya tendo la ndoa lina mahusiano yoyote na kuwa bleed?

Kama hayana mahusiano je ni muda gani mtu aliyejifungua anaweza kubleed au kuingia MP?

Je kipindi kilichokuwa kinaongelewa kilikuwa kinalenga kuepusha upatikanaji wa mimba muda mfupi wakati mtoto hajawa mkubwa?


Au mtu anaweza endelea nyonyesha na akawa anapata Mp?

wakuu nisaidieni?
 
Back
Top Bottom