can you prove this?kubenea is not a professional journalist but rather a mercenary who has invaded the media industry for his own benefits.
hii ilitokana na njaa aliyokuwa nayo kwani yeye kwake ni pesa mbele
Sidhani kama unamjua Kubenea vizuiri. Na nadhani ukibaraka wako unakusumbua tu. Kubenea ni Mwandishi Jasiri ambaye hayuko biased . Yuko tayari kutoa maisha yake kwa kutetea taaluma yake. Ni mkweli. Anapozungumzia CHADEMA, acha aseme ukweli. CHADEMA ni chama kinachotetea wanyonge na kinasema ukweli ambo hata wananchi wameanza kuelewa. Mwalimu Nyerere enzi za uhai wake alisifia sera za CHADEMA , alisema. ' Nimesoma sera za CHADEMA , Ni FINE' .
Si Kweli:
Ingekuwa ni kweli ana tamaa kihivyo angeshawaangukia na kuwasafisha watuhumiwa wa ufisadi, ila yeye ndo amekuwa mstari wa mbele kuweka ushahidi mbalimbali hadharani na kutufunua macho kupitia gazeti lake la kutetea wanyonge.
- Kubenea SIO mwandishi wa habari by profession..
- Kubenea ana elimu ndogo
- Kubenea ni mganga njaa yuko tayari kufanya au kutoa lolote kwa ajili ya pesa
- Kubenea sio mwaminifu.......
- Ameshawahi kupatwa na kashfa za utapeli