Sidhani kama unamjua Kubenea vizuiri. Na nadhani ukibaraka wako unakusumbua tu. Kubenea ni Mwandishi Jasiri ambaye hayuko biased . Yuko tayari kutoa maisha yake kwa kutetea taaluma yake. Ni mkweli. Anapozungumzia CHADEMA, acha aseme ukweli. CHADEMA ni chama kinachotetea wanyonge na kinasema ukweli ambo hata wananchi wameanza kuelewa. Mwalimu Nyerere enzi za uhai wake alisifia sera za CHADEMA , alisema. ' Nimesoma sera za CHADEMA , Ni FINE' .