I. Tatizo la Kubenea ni elimu ndogo, hivyo uelewa mdogo. Anadhani kwa waziri kuwa na hisa kwenye kampuni yoyote kabla ya uteuzi wake, ni mgongano wa maslahi!
Wanachofanya viongozi wote ni ku-declare their interest au kwa faida ya Kubenea ambaye inaeleweka hajui Kiingereza, unaweka wazi maslahi yako. Kama hilo ni tatizo, basi aliyekuwa na mgongano mkubwa wa kimaslahi ni Bosi wake Edward Lowassa aliyekuwa Waziri Mkuu na msururu wa makampuni ikiwemo Richmond na bila kuweka wazi maslahi yake.
II. Imeeleweka. DIRA na MWANAHALISI LAO MOJA! Huyu anaomba radhi, mwingine anaendeleza kampeni za akina Lowassa dhidi ya Mwakyembe. Hamtafanikiwa UKAWA!
III. DIRA na MWANAHALISI ni DAMUDAMU! Mwakyembe usikubali kabisa maombi ya msamaha ya DIRA. Waunganishe wote kwenye kesi wapiga debe/ mamluki wa Richmond hawa!
IV. Hakuna mtu mchafu, kizabizabina na mwenye mgongano mkubwa wa kimaslahi kama Kubenea! Kapata Ubunge bado anaendesha magazeti yake akiuza uongo na kuwapiga umbea Wabunge wenzake.