Usimfananishe Nyalandu na wachumia tumbo wanaohama vyama, hana njaa hiyoNyalandu aliachia kwa bei gani?! Ukiwa huwezi kutunza kumbukumbu kaa kimya!!!!
Chadema hawana pesa ya kumnunua NyalanduNyalandu aliachia kwa bei gani?! Ukiwa huwezi kutunza kumbukumbu kaa kimya!!!!
Unamfananisha nyalandu na kima Mtuliaaaa..Nyalandu aliachia kwa bei gani?! Ukiwa huwezi kutunza kumbukumbu kaa kimya!!!!
Chama nuksi hiki, utasikia mgombea wa CCM amepata kura 10,000 na mpinzani wake kura 3,000. Ajabu ni kuwa wapiga kura wote ni 7,000.Swala la Nyalandu lina uhusiano wa moja kwa moja na Madhila ya Mhe.Lissu wala siamini kama kuna Biashara ya utumwa hapo na isitoshe nahisi anajiamini jimboni anarudi hata kama ni kwa tiketi ya TLP kwa hiyo alienda likizo tu bungeni anarudi!
Mmesahau kuwa mlisema Nyalandu alifukuzwa chama?Nyalandu aliachia kwa bei gani?! Ukiwa huwezi kutunza kumbukumbu kaa kimya!!!!
hizo kura nyingine zinatoka wapi? au wanazipitishia kwenye expansion joint.Chama nuksi hiki, utasikia mgombea wa CCM amepata kura 10,000 na mpinzani wake kura 3,000. Ajabu ni kuwa wapiga kura wote ni 7,000.
Kwa hiyo nyalandu ndo aliinunua chadema kwa ruga nyepesiChadema hawana pesa ya kumnunua Nyalandu