Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,665
- 239,162
Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na umoja wa wamiliki na wazalishaji wa unga wa Sembe na Dona ( UWAWASE ) jijini Dar es salaam.
Amesema jimbo limepanga kupeleka fedha hizo zinazotokana na mfuko wa jimbo na kwamba tayari fedha hizo zimeshafika, kinachofanyika ni kupanga mikakati na kuchambua vipaumbele ambavyo fedha hizo zitaelekezwa .
Chanzo: Nipashe
Mimi kiukweli nazidi kusisitiza kwamba kama kila mbunge wa nchi hii na hasa wa upinzani tukiiga uwakilishi wa Mh Kubenea, kuna hatihati ya kupita bila kupingwa uchaguzi ujao .
Kila la heri Kubenea uwakilishi wako Ubungo umetukuka.