As received
Kubenea aomba mdahalo na Slaa awe na Mwakyembe na Sitta.. yeye peke yake... Leo yupo Kyela akirudi kesho anawataka... Waende na ushahidi wao wote yeye anaenda na ushahidi wa uhakika kabisa.
Anasema alitaka kukaa kimya lkn Slaa kafanya kosa jana kumtaja ili kumuonyesha hajui kitu anataka kumuaibisha... Pia anao ushahidi kalipwa sh ngp na ficm yy na demu wake Mushumbusi..
Wakikataa mdahalo anaita press conference
Hana madhara huyo, kama alivyoacha utawa na bado watu wanasonga mbele na imani yao, vivyo hivyo ameiacha CHADEMA itaendelea kupaa bila yy, aende mbele.....
Siasa za mwaka huu ni za kipuuzi.....watu baada ya kutangaza sera kwa wananchi..wanatuletea mambo ya mipasho.....
Kubenea wakazi wa jimbo lako tunataka kujua utatatuaje tatizo sugu la MAJI,,,,...???
Ni bora tujue uweli babu kanunuliwa kwa bei gani..sio anakuja na ngojera eti tumchague nusu fisadi...hahahahaa babu umechelewa sanaa nadhani leo umepata salamu toka uwanja wa taifa..Je na wale vijana wa uwanja wa taifa wamehongwa na lowasa au wamebebwa na mabasi...lowasa ndo mpango mzima....simchukii magufuli bali naichukia ccm....
As received
Kubenea aomba mdahalo na Slaa awe na Mwakyembe na Sitta.. yeye peke yake... Leo yupo Kyela akirudi kesho anawataka... Waende na ushahidi wao wote yeye anaenda na ushahidi wa uhakika kabisa.
Anasema alitaka kukaa kimya lkn Slaa kafanya kosa jana kumtaja ili kumuonyesha hajui kitu anataka kumuaibisha... Pia anao ushahidi kalipwa sh ngp na ficm yy na demu wake Mushumbusi..
Wakikataa mdahalo anaita press conference
kubenea hawa madokta na maprofesa wa Tanzania ni wakuwapuuza kabisa. cha kushukuru ni kwamba watanzania wa leo wanajua kilicho nyuma yao.
Atakua Labda kasahau
Tupe chanzo cha habari ama ww ndo kubenea
dk slaa na watu kama nyie hiv mmeshindwa kujua shetani tunayepambana nae ni CCM (sio Magufuli), wamezoea kulindana mpaka bunge letu limekua la ajabu..kisa ccm wengi.
hapo ni uongo mtupu hata mwenyewe unafahamu. huyo mungu wenu ws chadema mungu gani hamumuogopi? au umegeuka zombie wa akina mbowe na lissu au tumbo ndio inakutuma.Msaliti silaha padri aliyemuhasi mungu na wanadamu kwa kuitelekeza mbingu, familia na chama kwa uroho wa pesa na tamaa za mwili Kamwe hawezi kurudisha nyuma harakati za mabadiliko.
Kubenea nakuheshimu na ninakukubali sana kwenye uandishi makini, nakupongeza sana kwa kujitoa kumshughulikia huyu dr, ila naomba msimjibu mara kwa mara anataka kuondoa attention kwa lowassa, tuelekeze kwake, sisi tuendelee na mapambano tumuache abwabwaje mpaka koo limkauke. Mwisho nampongeza mheshimiwa Lowassa kwa kweli amenipa kumfahamu vizuri kuwa ni mwana siasa aliyekomaa kwa kuacha kujibishana na waswahili. Hongera sana Lowassa kura yangu inaenda kwa mtu makini.
Hoja ya babu kununuliwa imeanzishwa na nani?Ni bora tujue uweli babu kanunuliwa kwa bei gani..sio anakuja na ngojera eti tumchague nusu fisadi...hahahahaa babu umechelewa sanaa nadhani leo umepata salamu toka uwanja wa taifa..Je na wale vijana wa uwanja wa taifa wamehongwa na lowasa au wamebebwa na mabasi...lowasa ndo mpango mzima....simchukii magufuli bali naichukia ccm....
Aite tu Press Conference kwa sababu yeye ni msafi.As received
Kubenea aomba mdahalo na Slaa awe na Mwakyembe na Sitta.. yeye peke yake... Leo yupo Kyela akirudi kesho anawataka... Waende na ushahidi wao wote yeye anaenda na ushahidi wa uhakika kabisa.
Anasema alitaka kukaa kimya lkn Slaa kafanya kosa jana kumtaja ili kumuonyesha hajui kitu anataka kumuaibisha... Pia anao ushahidi kalipwa sh ngp na ficm yy na demu wake Mushumbusi..
Wakikataa mdahalo anaita press conference
Aite tu Press Conference kwa sababu yeye ni msafi.
Achaneni naye Dr Slaa atawapotezea muda wa kufanya kampeni na kusema sera zitakazoleta mabadiliko ktk taifa letu