Kubenea kumvaa Dr. Slaa

slaa ameamua kuiua chadema yake kwa mikono yake mwenyewe. hii ni hatari sana aise...
Japo mimi sina Chama ninachosabikia lakini nitoe maoni yangu kuhusu huu mradi wa Slaa dhidi ya Lowasa.

Mapadre ni watu waliosoma sana falsafa na hadi kupata upadre anakuwa amekamilika sana busara kutokana na malezi anayopitia, lakini anayofanya sasa Slaa (padre wa zamani) anajidhalilisha sana kiasi hata cha mtu mwenye elimu ya kawaida tu lakini mwenye busara hawezi kufanya. Slaa ndiye mtu wa mwanzo kabisa kumtafuta Lowasa hadi kufanikiwa kumuingiza CHADEMA, leo anafanya jitihada kubwa kuhakikikisha anammaliza Lowasa na CHADEMA. Akumbuke hakuna mtu mmoja anayeweza kuiua CHADEMA. Pia wale watu 11 aliowataja kuwa mafisadi pale Mwembeyanga asidhani watamsamehe asilani kwa sababu ya huu mradi mpya wa Lowasa. Kisasi kwa mwafrika kipo siku zote.
Nadhani Slaa hadi anamaliza maisha yake hapa duniani atakuwa amedhalilika na kudharaulika sana. Nadhani kile kiapo cha upadre alichoasi kinammaliza (mimi ni mkatoliki) Aelewe kuwa hataweza kummaliza Lowasa kama anavyodhani, Tusubiri uchaguzi upite.
 
Acheni mzaha, Kubenea hana uwezo hata tone, na haiwezekani kuumbwa upya, akubali matokeo kuwa Muumba hakumjalia katika hilo.
 
Aliasi kwa Mungu wake sembuse chama

Kweli Chadema mna siasa za ulaghai na kuwafanya watu kama midoli. Yaani leo ndio mmekumbuka kuwa aliasi kwa Mungu baada ya kumkataa fisadi hadharani!! Hamkusema kipindi chote akiwa katibu mkuu mpaka atoke ndio kawa mbaya! Ha ha ha kweli chadema fedha za fisadi zimewapofusha macho.
 
Acheni mzaha, Kubenea hana uwezo hata tone, na haiwezekani kuumbwa upya, akubali matokeo kuwa Muumba hakumjalia katika hilo.

Kwani we huijui Tz ya leo??!!
Mtu akiweza kuimba atataka arushe ndege, kesho aendeshe kifaru, mara aandike script ya filamu. . . . .

Acha atingishe kama ipo. . . . . .
 
Kubenea huyu huyu aliyekuwa anamponda Lowassa kisha anafunga kamba za viatu vyake, anataka amponde Dr Slaa. Hivi siye Kubenea aliyeunguzwa na Tindikali?

Tutasikia mengi kwa kweli mwaka huu.

Slaa huyu huyu aliyekua anamponda lowasa ndo alianza kumshawishi ahamie chadema
 
jamani njaa ni mbaya sana ndio maana ni bora kuchagua mtu tajiri kuwa kiongozi maana sio rahisi kurubuniwa
 
Mwakyembe alipokuwa anasoma taarifa ya uchunguzi wa Richmond alisema kuwa Kubenea ndiye mwananchi pekee aliyeenda kwa hiari kutoa ushahidi juu ya ufisadi huo.
Bila shaka Kubenea ataeleza katika mkutano ya kumjibu Dk Slaa nini alienda kueleza mbele ya kamati ya Mwakyembe.
 
Bahati yako ndugu Kubenea, Dr Slaa hatumii tindikali wala kuchomoa kucha!! Mi nakushauri endelea na juhudi zako za kutafuta ubunge huku ukipambana na mafisadi wanaolifisadi taifa!!
 
Kamwagiwa tindikali na team mamvi leo anajishaua nani ampe kura atapiga kelele tu
 
Slaa kapewa mtandao pendwa na mshumbusi lazma achanganyikiwe
 

Nasema asante sana dk. Slaa kahindwa kujisitiri haina budi kuweka wote wazi kwa usawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…