Kubenea kumvaa Dr. Slaa

Safi sana kubenea wa Saidi huyu Padri ni lazima aende Roma kufungwa gavana ya maneno ya uongo, eti alikutwa anakura miogo, miogo ni ya sisi malofa tu. Ye yake ni matanuzi serena hotel
 
Niwekee kwenye MWANAhalisi mimi ni mama lishe kwenye TV sitakuona huwa naanza kuuza chakula saa 12 asubuhi nafunga saa 6 usiku wala TV sina.Ukiniwekea kwenye gazeti nitalisoma kwa wakati wangu.
 
Ngoja niongeze bisi na maji ya kunywa.
 

Kwa hiyo umeamua kupambana na kivuli chako, wewe na Ulimboka mlilipwa kiasi gani hata mkaamua kubana Pumzi kama siyo Usaliti?

Kumbuka vita hii ni kubwa siyo size yako, huku ni kupoteza muelekeo Jimboni kwako uko 15% kaeni CDM mjipange upya vinginevyo hata kidogo mtakipoteza.
 
Nilitaka kukujibu ila id yako tu imenifanya nikusamehe
 
Yana faida gani malumbano haya?
 
Msaliti Silaha muda si mrefu tutamsahau katika ulimwengu wa Siasa....
 
Naam! Na as long as Mwanahalisi Linarudi hewani..
 
Kubenea amedata, hana lolote la kupambana na Dr Slaa.
 
Sipati picha na mwanahalisi limeschiwa huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…