Kubenea azidi kumkalia kooni Bashite

Kubenea ni moja ya Wabunge ambao hawatarudi Bungeni 2020 hana anachofanya Ubungo
Huyu jamaa ni mbunge wangu hapa Ubungo,but sioni ambacho anakifanya zaidi ya maneno ya mipasho like mwanamke wa saloon
 
Hayo
Bashite ni nani?? Watasema wakichoka watalala!!

2020 kuna baadhi ya Wabunge hawatarudi Bungeni kwa sababu wameacha kufanya mambo ya msingi kuhusu majimbo yao wamebaki na habari za Gwajima na Mange!
Wanayoyasema sisi ndio tunayataka
Hawa tutawachagua tena kwa kishindo.
Wale wanalonyamazia swala LA Bashite wajiandae kutorudi bungeni.
 
Ninaamini kuwa Nimekuelewa vizuri.
 
Makonda huenda akawa ni kiongozi bora zaidi kwa siku zijazo....
Viashiria gani unatumia kufikia hitimisho hilo? Au usikute uko ndotoni na ukiamka anaendelea kuviona viashiria vya Makonda aka Bashite kuendelea kupungukiwa na ukubali wa wengi?
 
Makonda huenda akawa ni kiongozi bora zaidi kwa siku zijazo....
Tangu Makonda awe mkuu wa mkoa, nini cha maana amefanya?
..kafukuza ombaomba, ameshindwa
..amedili na wauza p!ssy ameshindwa.
..kapiga marufuku kulala guest mchana, ameshindwa.
..madawa ya kulevya, well sote tunajua alipoishia.
 
Ila ukweli bashite kiburi chote kimeisha. Sasa hivi unaambiwa hata ofisini kwake pale Ilala akiona mtu anacheka anakunja USO akidhani anachekwa yeye. Na zile lugha za majidai hazipo tena
Akili zako hazikutoshi, wewe mwenyewe huna cheti, Baba yako hana cheti, mama yako ndiyo kabisaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…