Huu mfano wako naulinganisha na huu.2005 CCM 81% , 2010 CCM 63% , 2015 CCM 56% , 2020 Load......
Ni ukweli mchungu. Serikali za CCM hazijawahi kuwa sikivu.
Nchi hii inahitaji mapinduzi ya lazima; kwani ya hiari kupitia sanduku la kura (kwa katiba hii) itatuchukua miaka elfu.
kama wewe peke yako humuelewi hiyo haina athari.Makonda kwasasa yupo jimbo la ubungo anatatua kero za maji pamoja nakurejesha viwanja vya wazi vilivyoporwa na mafisadi kubenea yeye anaongea ujinga bungeni,ubungo sijui kama watamwelewa tena.
Huu upinzani wakipumbafu tu umekomalia bashite, bashite so what sijui mwananchi huko jimboni ananufaika vipi na swala bashite.Makonda kwasasa yupo jimbo la ubungo anatatua kero za maji pamoja nakurejesha viwanja vya wazi vilivyoporwa na mafisadi kubenea yeye anaongea ujinga bungeni,ubungo sijui kama watamwelewa tena.
Mkuu hiz zako ni stor tu,jarb kwnda j3 ofisin kwake km atakuwepo uone km kabadilika hta chembe..ofisi ipo hot km mwanzo hiz za humu jf n stor vjwe tu...Ila ukweli bashite kiburi chote kimeisha. Sasa hivi unaambiwa hata ofisini kwake pale Ilala akiona mtu anacheka anakunja USO akidhani anachekwa yeye. Na zile lugha za majidai hazipo tena
Na siku wakilijua hili nahisi chama kikuu cha upinzani kitakua ni kpyaa sio katka orodha zlzokuwepoCCM wamemuweka Bashite Kama Sacrifical lamb kuwapotezea Muda Wanasiasa , Mijadala Mingi ya Msingi imekosa mvuto kwa kuwa wote wapo na Bashite!
Bunge la Bajeti linaendelea badala ya kuibana Serikal kuhusu utekelezaji wa Bajeti iliyopita wao wamekazania ya Bashite!
Wanasiasa wetu wa Upinzani huwa wanacheza ngoma zinazopigwa na CCM kwa Ujinga wao bila ya kujijua
Kwanini iwe baadae na siyo sasa? Haya basi inawezekana kwa hizo akili zenu za kibashitebashite!Makonda huenda akawa ni kiongozi bora zaidi kwa siku zijazo....
unajijua mkuu, endelea kusema, enhe nani anakulisha??Hivi mchumia tumbo kama wewe ndio wa kumwita Kubenea Kilaza !
Mkiniambia wewe na nani? Wapi nimesema mimi ni jasiri?Kanuni ya Kwanza ya Mapinduzi
Ni Ujasiri
Ya Pili uthubutu
Ya Tatu kujitoa Muhanga!
............
Tukikuambia anza kwa kuwa Verified user utaanza Nahau Kibao!
Jembe la wapi kuongelea mambo ya ilala wakati kwake ubungo kuko how?
Old news!
Sasa hivi tukio linalobamba ni ndege....
Kilichomkimbiza John Mnyika Jimbo la Ubungo nakiona kwa Mbunge Kubenea uwezekano wa 2020 kurudi Bungeni ni mdogo sana!!
Napongeza kazi kubwa na nzuri aliyoifanya MKUU kuhusu vyeti fake! Haya ndo maamuzu magumu yaliyozingatia maslahi ya taifa! Ndiyo kuna maumivu, lakini haya maumivu yatapita lakini tija ya zoezi hili ni ya kudumu! Kama Taifa tulikuwa tunaelekea kubaya! Kusoma ni maumivu na gharama kubwa ya muda mrefu! Lakini wajanja wakagundua njia rahisi ya kukwepa maumivu na kulipa gharama ndogo ya Mara moja tu na MTU anapata Cheti! Taifa lilikuwa linaangamia! Tumuunge mkono katika hili!BASHITE NA VYETI FAKE
ATUMBULIWE
2020 is just knocking the door!! You just wait see!!Unaposema hayo unamlinganisha na mbunge gani mwingine ambae Wewe unamkubali na ya kuwa unauhakika kuwa yeye atarudi jimboni kwake mwaka 2020? ni Mbunge yupi ambae unaweza kutuhakikishia kuwa yeye amepeleka maendeleo jimboni kwake baada ya uchaguzi ulopita? Mbona naona Kama mnamhusudu Kubenea? Acheni husuda bana! Wabunge wote almost ni hivyo hivyo tu wanambugilambugila tu hadi sisi wananchi tutakapojitambua vizuri Na kuacha unafiki!