Ila ukweli bashite kiburi chote kimeisha. Sasa hivi unaambiwa hata ofisini kwake pale Ilala akiona mtu anacheka anakunja USO akidhani anachekwa yeye. Na zile lugha za majidai hazipo tena
Inauma sana mkuu mtu badala ya kusimama akipewa nafasi na spika aeleze matatizo ya wapiga kura wake anajikita kwenye hoja hewa ambazo hata zijibiwe vizuri vipi hazileti maji wala kutatua kero halisia za jimbo lake.Hovyo kabisa upinzani hawajielewi na hawaelewi wameenda kufanya nini bungeni